herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Wakitangaza unafaidika na nn, we endelea kujikinga kama unaona kunahatari ya uwepo wa huo ugonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA walileta coronaKilio cha wanachadema kimesikiwa, nadhani wakiongeza kelele kidogo tu kuhusu lockdown, Napo watasikiwa na baada ya hapo chanjo itafuata
Sasa nyinyi CCM kaeni na agenda yenu ya kutoyatambua hayo Ila nchi inaenda kuambiwa Corona ipo hata kama tulifahamu hivyo
Mkuu, kinachokufurahisha ni hiki kitendo cha kamati ya Corona kuiytambua korona hata kama huko nyuma tulifahamu kuwa ipoEnzi ya dikteta wangetoa hiyo riport? bora MUNGU alitusaidiam
😂😂😂😂😂 We ni thinker of the yearNdo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma 🤣.
Sidhani kama ni mtu wa kusoma mavitabu kama hayo.
Yeye ni mitandao tu 🤣🤣.
Sure haina jipyaMbona ripoti wamepresent kishallow kupita kawaida. Kuna watu sisi ni madactari tulikua tunafuatilia hiyo ripoti. Imekua kama ripoti ya wanafunzi wa form 4
Wewe ni zombieNaona mpaka bi miubwa kavaa barakoa amakweli Magu alikua anaipeleka hii nchi kwenye shimo.
Watangaze kuwa corona ipo kwa viongozi wa serikali tu....sisi wanchi wa kawaida hatujui nini kinaitwa corona. Mishe zetu zinaenda kama kawa.Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;
1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
Atakufa tena hapo hapo kwa ugonjwa wa moyoYaani shujaa akifufuka sijui atajisikiaje?
Ana akili sio kujifungia na mifaili mpaka unapata mafua makali.Ndo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma 🤣.
Sidhani kama ni mtu wa kusoma mavitabu kama hayo.
Yeye ni mitandao tu 🤣🤣.
😀CNN MKUU