Kwa muda mrefu sasa tumeishi bila ya hofu ya Corona na hiyo imemetufanya tumshinde huyu adui, sasa ni rasimi kuanza kuwekewa masharti ya watu wangapi wanapaswa watembee njiani na gari libebe watu wangapi, sherehe za kufunga ndoa nazo, baa nazo, Masokoni Napo, Kwenye nyumba za Ibada n.k