#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Simpendi Magufuli na nimeona bora kafa
Ila kwenye ishu ya Corona alicheza kama Pele
Kwa nn haya mafua yanapigiwa chapuo namna hii tofauti na TB Ukimwi n.k
Kipo kitu nyuma ya pazia
Huwezi kupewa vyote..umeletewa uliyempenda sasa penda na namnaa anavyoshugulikia hili.
 
Keyboard warrior una jeuri gani yakukataa kitu ikiwa jiwe aliwaburuta kama Ng'ombe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Wenzio wanaanua matanga ww ndo unataka kufunga Matanga ya msiba tena !!haya ngoja tuwaone mfungiwe ndani ,mvalishwe matambaa mdomoni na kkoo msijazane tuone umachinga wako utafanyia wapi..
 
Kilio cha wanachadema kimesikiwa, nadhani wakiongeza kelele kidogo tu kuhusu lockdown, Napo watasikiwa na baada ya hapo chanjo itafuata

Sasa nyinyi CCM kaeni na agenda yenu ya kutoyatambua hayo Ila nchi inaenda kuambiwa Corona ipo hata kama tulifahamu hivyo
Hivi kwanini mlikuwa mnawaambia watu kuwa Tanzania hakuna corona?
 
Wenzenu wanapata chanjo wanatoka ndani unafikir wanatoka kwa kuwa wamechoka hii nchi ina wapumbavu sana
Wewe hapo umepata chanjo?mbona maisha yanaendelea kama kawaida;hapa Tanzania hatuna corona,kama ingelikuwepo akuna hata mmoja wapo angebaki, Sasahivi ndio tunakwenda kupata corona maana tumeikaribisha lasimi
 
Kilio cha wanachadema kimesikiwa, nadhani wakiongeza kelele kidogo tu kuhusu lockdown, Napo watasikiwa na baada ya hapo chanjo itafuata
Nchi gani ya kuweka wananchi lockdown ?
 
Watakuwa wajinga sana hao wenye hofu ilikiwepo tb na watu walienda sawa had kumetulia waje kuogopa corona? Hizi porojo za mwendazake hazina nafasi
Kwa nini tusiishi nao kimya kimya kama hayo magonjwa mengine, lakini tahadhari zichukuliwe na sio promo na matakwimu kila siku.....kama chanjo ikija anaetaka achome na isiwe lazima....Ukweli usemwe kipindi corona inaingia zile takwimu za kila siku zilileta hofu kubwa sana ya maisha....naamni mpaka leo hii tungekuwa ndani tumekwisha kwa njaaa na hofu...Hivi hivi tunaishi watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida,leta hayo wanayoyataka hiyo tume uone maisha yatakavyo badilika.
 
Bila nyungu.hali ingekuwa mbaya Sana.
UKWELI usemwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jesus..

Kwanini hatujaja na mbadala wa HIV,TB na Malaria tofauti na recommandation za WHO kama tuvilyopiga uturn na nyungu uchwara hizo kwenye corona?
 
Back
Top Bottom