#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Kwa kuangalia hii picha, unaweza kuja na dhana Mbili za muhimu;

(1)Ukweli (Truth) (T)
na

(2) Uhalisia (Reality) (R)

Truth is Objective but
Reality is subjective.

Regardless of outcome, the Truth is determinant-- It has finality. It is what it is; unlike Reality which can be interpreted in different ways by the various people it affects".

Kwenye probability; occurrence of Event is always less or equal to 1:Ukweli +Uhalisia =? Dunia tunayoishi ni moja na muingiliano baina ya raia wa Nchi mbali mbali ni lazima
Mwanang umeongea point sana 🧠
 
Watu huku mtaani tunaishi vizuri sana, hatuna hofu wala mashaka ya kifo, naona sasa yanaletwa. Naendelea kusema hakika mwanasiasa ndiye Mungu wa dunia hii. Maana akiamua ameamua akisema amesema lazima wote tuseme amina. Baada kufa mwanasiasa mmoja anakuja mwasiasa mwingine na mambo yanabadirika, kweli mwanasiasa ndiye Mungu wa sunia hii.
Hofu ya nini? Sijaona jipya kwenye hiyo ripoti sana na mapya ni kutoa takwimu na kukubaliana kikanda na kimataifa. Suala la chanjo limewekwa huru , matumizi ta nyungu yafuate ushauri wa kisayansi. Sasa mbona kama hamsomi hayo mapendekezo mnaanza tu kulalamika? Watanzania nimewashindwa.
 
Watangaze takimwu kwa faida ya nani? Kuwafurahisha wazungu?
kama corona ipo tuwekeni lockdown basi maana si tutaisha?
kama corona iponazinduaje mbio za mwenge wakati mnajua zitaleta msongamano? Au mnampotosha mama badala ya kumueleza ukweli? Au aliwaambia muandike hayo?
 
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;

1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
Hii habari ni mbaya sana kwa sukuma gang, na MATAGA WOOTE.
 
Aisee mbona unachukuwa jukumu la kutusemea mimi na familia yangu na marafiki zangu.tumekutuma?
Kwani wao wamekutuma kuja kunihoji?
Na kama una au mna corona na maelekezo yote yaliyotolewa kuhusu kujikinga basi mtakuwa wewe na genge lako ni wajinga mwisho.
 
Hawa wataeka wapi sura zao, ila wanasiasa wanavyojua kujitetea utasikia wanavyo mruka jiwe
Hawa walikuwa sahii tu maana hizo dawa zimesaidia sana huku mitaani hatukuona vifo walivyokuwa wakitabili hao mabwana wenu,eti Wafrica tutakuwa tunaokotwa kama takataka,mwisho ikageukia kwao, Sasahivi hivi huko india wameamua kuachana na hizi dawa zao,wamerudi kutumia dawa zao za asili,ni ujinga tu kuzarau dawa za asili wakati ndizo zilizokulea na kukuza,labda kama wewe ni mtoto wa juzi.
 
Daah, Mungu aliingilia kati baada ya kuona sis wenyew tumeshindwa kujisaidia. R.i.p ancle magu.
 
Back
Top Bottom