Kwa lipi...?
Magu alisema fanyeni kazi huku mkijikinga na kumuomba MUNGU,
-Magu alisema CORONA ipo ila tutaishinda.
-Magu alikataa kinga( chanjo ) ambayo hata wazungu waliipinga baadae baada kuona inaleta madhara baada ya kukinga watu.
- Magu alikataa barakoa kutoka nje ya nchi/ za misaada alisisitiza tutengeneze barakoa wenyewe, baadae zilishikwa nchi za wenzetu zikiwa na vimelea vya virusi vya korona. Katka hlo alitengeneza ajila kwa waTZ
- Magu alikataa kuwafungia watanzania quarantine na tukafanye kazi, kutafuta chakula ili tusife njaa.
NB :ukiachana na siasa Magu alifanya vyema katika kupambana na CORONA