#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Hongera sana Mama na teams zako kwa kweli unafanya mambo yenye tija kwa Tanzania mengi kwa muda mfupi sana na kwa uwezo wa mola utatufikisha mbali.

Tanzania tulikuwa tunaonekana kituko kwa International community na majirani zetu jinsi hili janga la Corona tunavyoliendesha kienyeji.

Najua wengi watakupinga na team ya wataalam wako lakini sio kosa lao walijazwa ujinga sana.Corona hipo na inauwa sana na si muda mrefu yale yanayotokea India yakatokea Africa hafadhali yatukute tumejipanga walau kidogo kwani walipo majirani zetu itachukua muda kufika.
 
Mama Samia kazunguka sana asionekane yeye ndio kaja na msimamo tofauti juu ya Corona.

Anaogopa kivuli cha JPM?

Hajiamini?

Bado viatu vya urais vinampwaya?

Hongera kwake kwa kuitokomeza Corona rasmi. Hatutegemei kusikia watu wanakufa kwa Corona. Tumuunge mkono.
 
Akili za watu wengine ni takataka kabisa mtu anagomea chanjo ukimwambia sababu ni nini atakuambia rais Jiwe alikataa ukimuuliza jiwe yuko wapi jibu ni hayati sasa hayati anakuwa vipi na walatii ya maisha yako jibu ni unatumiwa na madume ya mbuzi
 
Kufananisha utawala wa mwendazake na utawala wa mama inahitajika uwe na akili iliyolala upande mmoja..itakusaidia usiweze kun'gamu mambo yaliopita na yanayoendelea kwa ufasaha...

Kila jambo anahusishwa mama hata kile kichapo cha 4G kwa simba wapo wanaosema mama ndio amechangia ..tumuacheni mama achape kazi kidogo mengine yatafuata baadae
 
Ni lini instagram ilikuwa na commentator wenye akili?
Mahali ambapo Shishi baby, Diamond, Amber Ruty na kadhalika ndio vinara!
Jee combination hiyo mtu mwenye akili anaweza kutuletea reference zake JF?
Ingekuwa mimi nina uwezo huyo anakula ban wiki
 
Wajinga sana ninyi.
Badala ya kuongea na sayansi ninyi mnapiga domo.
Marekani sasa hivi wameshapigwa chanjo watu MILIONI 160, chanjo ya KWANZA, na MILIONI 120 Chanjo ya PILI.

Wajinga ninyi mnategemea hao watu kufa?
Tatizo ya mijitu mliozoea madogoli shida sana.
Usije kujikuta ww ndio mjinga wa mwisho
 



Hili neno "RIP MAGUFULI" silipendi! Amekua nani yeye mpaka akumbukwe!!!! Mwinyi alikua the best lakini haimbwi kama narehemu.


Mnakera sana na huu msemo wenu wa "RIP"..


Mtume ﷺ na Maswahaba zake na wema waliotangulia wameondoka duniani sembuse magufuli!!!! Yeye nani?
 
Hii shughuli itakuwa mubashara kutokea Dodoma au wapi tena?
 
Si Magufuli alifunga shule na vyuo sababu ya corona? Ni nani alisitisha mbio za mwenge sababu ya corona?
ni nani aliyepima mapapai kujiridhisha kama kuna uhalisia kwenye takwimu?
Ni nani alitangaza kuwa Tanzania haina Corona?

02105164930.jpg
 
Hao waambiwe hata Chanjo za kifaduro, Kifua kikuu, Homa ya ini, surua na polio zinatoka hukohuko kwa wazungu

Kana hawazitaki waambie watengeneze zao!

*************************************

Baada ya kusema hayo, hata mimi nataka tusikurupuke kwenye kupokea hizo chanjo, Hebu tukae kwanza kama miaka mitano tusikilizie, tukiona hazijawadhuru waliochanja basi hapo ndo tuamue kuchanja au la, tusikurupuke!
Chanjo siyo lazima mkuu, and kuna watu wabasafiri nje ya nchi, itafika kipindi condition itakuwa ni uwe umechanjwa, kama ilivyo manjano
 
Mahali ambapo Shishi baby, Diamond, Amber Ruty na kadhalika ndio vinara!
Jee combination hiyo mtu mwenye akili anaweza kutuletea reference zake JF?
Ingekuwa mimi nina uwezo huyo anakula ban wiki
Jamaa ametudhalilisha sana JF kwa kutuletea hizo comment za IG
 
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;

1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
unasemaje chawa kama chawa.....
 
Back
Top Bottom