#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Corona ipo hupo nyumbani kwako? Maana mimi na wenzangu tulisha sahau kitambo?
Unaihitaji? Basi ikija ianze na wewe na ukoo wako maana mnaitamani
Unaelewa hata tupo katika uzi gani na tunazungumzia nini?Hapa tunazungumzia kamati iliyopendekeza kuwa Tanzania itangaze kuwa Corona ipo.Hatuzungumzii juu ya mimi na wewe!
 
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;

1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
View attachment 1788475
Hiki ni kipigo kwa Askofu Gwajima
 
lockdown hujaiona? Wamesema takwimu zitangazwe hizo mask,vyipimo vyanavyoonyesha postive mpaka papai,ndo Tanzania itaonekana cha India kimeingia,wakubwa watamwambia fanya lockdown kama wanavyofanywa Kenya.
eeh Mungu kwanini?
Basi tumwombe Mungu tusifike huko, Mimi sioni haja ya lockdown, tupige kazi tu huku tukichukua tahadhar!
 
Kama ni mabadiliko sasa kweli ni mabadiliko. Ina maana huko nyuma haya hayakujulikana?
IMG_20210517_170931.jpg
IMG_20210517_170937.jpg


IMG_20210517_172802.jpg
 
Kwahiyo wazungu wakichanjwa na wewe uchanjwe?
sasa karibia chanjo zoote mnazochanjwa mbona mlikuwa hamuulizi zinatoka wapi hii nchi inawasomi ila kama wajinga wajinga na huyo mtu wenu alisamaga eti kirusi ni kama mafuta unakunywa maji ya moto kinayeyuka hamna kitu yule
 
Dah, wajinga kama nyinyi mpo wengi kinoma, mentally slaves to the core. I pitty your offsprings

Wewe ni mpumbavu sana toka unazaliwa had leo unatumia vyao halafu unajidai haupo kwenye utumwa anza na cm made in tanzania tujue unamaanisha baba yako na mama yako wamekupeleka hospital ukiwa mdogo umechomwa sindano ya ndui
 
Dah, wajinga kama nyinyi mpo wengi kinoma, mentally slaves to the core. I pitty your offsprings

Cha kushangaza zaidi na zaidi jinsi ulivyo mpumbavu na mtumwa hadi hapa unatumia kiingereza nani mtumwa hapa sasa wewe kenge?
 
Tume imesema chonjo ni hiari....kama hutaki hulazimishwi
 
17 May 2021

Wataalamu wakabidhi ripoti ya Covid-19


Matumizi-huru ya chanjo dhidi ya Covid-19 yapendekezwa kwa wananchi. Ila Wafuatao wapewe kipaumbele kupata chanjo nao ni mahujaji, wenye maradhi sugu , watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na wale wa sekta ya Afya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Said Aboud Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021
 
Shenzi! Weka kiasi halisi kilicho kamatwa nyumbani kwake bila hivyo huu ni uzushi kama uzushi mwingine...
 
Back
Top Bottom