Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Mimi ni Mtanzania naijali afya yangu na ya wale walio katika makundi hatarishi kupata COVID-19, nayapokea maelekezo ya wataalamu kwa mikono miwili kama hizo chanjo ndio moja ya solution madhubuti kwasasa nipewe na wengine wanaohitaji wapewe bila ya kulazimishwa au kukatazwa.Maoni ya watanzania katika mitandao ya kijamii, wamekerwa na Chanjo
Hii ni ishara nyingine mbaya kwa Samia SuluhuView attachment 1788528View attachment 1788529View attachment 1788530View attachment 1788531View attachment 1788532View attachment 1788533View attachment 1788534View attachment 1788535