#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Mimi ni Mtanzania naijali afya yangu na ya wale walio katika makundi hatarishi kupata COVID-19, nayapokea maelekezo ya wataalamu kwa mikono miwili kama hizo chanjo ndio moja ya solution madhubuti kwasasa nipewe na wengine wanaohitaji wapewe bila ya kulazimishwa au kukatazwa.
 
Awiiiii
IMG_8549.jpg
 
Maprofesa wetu haya maisha ya kawaida hawayajui na hayawahusu wanashindwa kujua mama akikosea hapa italigharimu taifa na yeye itamgharimu maana ndo mtu pekee wananchi wanaweza kumhukumu 2025.ila akitenda kwa busara itakuwa heri kwake.
Kweli kabisa....kama wanataka kufufua jambo ambalo limeshazikwa.
 
Mama Samia kazunguka sana asionekane yeye ndio kaja na msimamo tofauti juu ya Corona.

Anaogopa kivuli cha JPM?

Hajiamini?

Bado viatu vya urais vinampwaya?

Hongera kwake kwa kuitokomeza Corona rasmi. Hatutegemei kusikia watu wanakufa kwa Corona. Tumuunge mkono.
Mama kajizungusha zungusha na ile kamati yake ya corona muda wote nikadhani inafanya utafiti huko na kutuletea tusiyoyajua matokeo yake imekuja na mapendekezo ambayo hakuna jipya, hapo kinafuata ni kuona wingi wa maambukizi na vifo ili tukamilishe ule usemi wa Tanzania sio kijiji ili tuonekane tunaenda sawa na dunia.
 
Back
Top Bottom