#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Duh! Si kwa mijitabu hiyo jamani khaaa.. Vitabu vikubwa utadhani mtu anayechukua PhD kaandika thesis ya covid 19..
 
Matumizi mabaya ya kodi za wananchi tu taarifa gani watazitoa zaidi ya porojo tu Dunia nzima inajua covid ipo. Tanzania tulisema Covid hakuna kwetu na mazingira tunavyoishi mtaani kama ingekuwepo kweli kila siku tungekuwa tunazika watu .

Waje na porojo zao but swala la lockdown na chanjo hatutaki ..maana chanjo imekuwa ni biashara kubwa na inampaka madalali na nina imani hata watu wa tume madalali wameshawafata

Naona kuna mtu anataka kufungua duka saa 2 usk wakat wenzie wanakaribia kufunga biashara .
kinachotafutwa ni justifications... ili maamuzi atakayofanya mama ambayo tayari anayo tudhani yametokana na hii tume.. ni technique moja ya ufanyaji kazi.
 
Magu alikua anaipeleka hii nchi kwenye shimo.
Kwa lipi...?
Magu alisema fanyeni kazi huku mkijikinga na kumuomba MUNGU,
-Magu alisema CORONA ipo ila tutaishinda.
-Magu alikataa kinga( chanjo ) ambayo hata wazungu waliipinga baadae baada kuona inaleta madhara baada ya kukinga watu.
  • Magu alikataa barakoa kutoka nje ya nchi/ za misaada alisisitiza tutengeneze barakoa wenyewe, baadae zilishikwa nchi za wenzetu zikiwa na vimelea vya virusi vya korona. Katka hlo alitengeneza ajila kwa waTZ
  • Magu alikataa kuwafungia watanzania quarantine na tukafanye kazi, kutafuta chakula ili tusife njaa.

NB :ukiachana na siasa Magu alifanya vyema katika kupambana na CORONA
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona -COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Said Aboud Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

E1ljMceXsAI0__k.jpeg


E1ljMchWEAIekf9.jpeg
 
Back
Top Bottom