#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Watu hawataki kujua ukweli, wanasingizia kuwa nchi zimeacha vita dhidi ya corona(wanatunga porojo). Vita ya corona imepamba moto ndio maana chanjo mbalimbali zimevumbuliwa dhidi ya ugonjwa huu. Stage iliyopo sasa hasa ni kupata chanjo huku unaendelea kuzingatia masharti ya kujikinga kuambukizwa.

Wanaopinga asilimia 100% ni genge [emoji3][emoji3]. Genge lina kibarua kigumu kupigania legacy, Lakini chanjo ni hiari, so nyie kataeni chanjo ili mjifriji angalau kwa hilo.
 
wamefanikiwa wapi watu bado wanavaa barakoa mama kwenye hili atuache asituue kama vipi waanze na wanasiasa kwanza bungeni then wafate wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na wakurugenzi
Atakua wa kwanza kupewa chanjo live on TV
 
Hvi toka lini kutumia chanjo ni kumdhalilisha Mungu? Hvi bila ARVs Tanzania wangekufa watu wangapi? Je kutumia ARVs ni kupinga uweza wa Mungu au ni precaution tu?

Cha kushangaza ukiugua malaria huendagi kuombewa ila unaendaga pharmacy ila linapokuja suala la Corona ndio pharmaceuticals zinageuka dharau kwa Mungu?
weird

Hayo magonjwa yote huko nyuma uliyo yataja yaliambatana na hizi sarakasi za corona? Hili nalo linahitaji kuwa profesa kulitambua? Kwa nini wanaovaa barakoa hadharani leo wakati wa JPM akiishi hawakuonekana kuzivaa hadharani? Kama huu si unafiki ni nini? Kama huwezi kutofautisha corona na mengine utasaidika vipi sasa?
 
Watu hawataki kujua ukweli, wanasingizia kuwa nchi zimeacha vita dhidi ya corona(wanatunga porojo).
Vita ya corona imepamba moto ndio maana chanjo mbalimbali zimevumbuliwa dhidi ya ugonjwa huu.
Stage iliyopo sasa hasa ni kupata chanjo huku unaendelea kuzingatia masharti ya kujikinga kuambukizwa.

Wanaopinga asilimia 100% ni genge [emoji3][emoji3]. Genge lina kibarua kigumu kupigania legacy,,
Lakini chanjo ni hiari, so nyie kataeni chanjo ili mjifriji angalau kwa hilo.
Mnapata taabu Sana kupotosha what is going on in this country at the moment. .the country is more divided now than ever ..mnapotosha kwa kudai kuwa kuwa Kuna genge or gang au to be specific the so called Sukuma gang...wote wenye Shaka na what is going on kwa Sasa mnawabatiza kuwa ni genge la Wasukuma...

Mmefanya dhambi kubwa mno kuingiza ukabila...itafika wakati hao Wasukuma mnaowadhalilisha wanaweza kujimobilize kwa kuona wanatengwa ndani ya nchi yao ...ni Jambo la hatari Sana kwa kweli...Kuna kabila lilinufaika na mfumo wa ukolonni na serikali zilizofuatia baada ya uhuru...wakapata elimu, wakajazana kwenye taasisi nyeti, TRA, mabenki, bandari, wizara ya fedha.

Wakapeana kandarasi na kadhalika...lakini hawajawahi kuitwa genge la kabila Fulani...haya tunayashuhudia Sasa dhidi ya wasukuma kwa kosa la kusingizuwa kwamba eti walifaidi enzi za JPM ...it is a dangerous move, a very dangerous move...eti wasukuma walifaidi!! ?! Ni hatari kwa kweli..Mimi siyo msukuma ila naiona hatari iliyopo..watu wengine wore wanaoonesha hofu kwa Sasa nao wanaitwa wasukuma...the so called Sukuma gang.

Ila mnashundwa kuitathimini Hali ya mitaani na hasa kwa watu wa kawaida wanafikiria Nini kuhusu JPM na namna anavyokejeliwa..wengine humu wanafanya hata kufurukusema wataenda kuweka kinyesi kwa kaburi la wanayemsema eti ni mwendazake..just imagine...Yaani humu mitandaoni Baadhi wamerundikana na kusema bad things against JPM na hakuna anayekemewa...mitaani watu in millions mioyo ya watu inavuja damu kwa kupotolewa na mtetezi wao.

Hao wasukuma wanaobaguliwa Sasa kumbukeni wako zaidi ya milioni 10 nchi nzima...mamilioni ya watu wengine pia are watching..
Kuhusu Corona let us wait and see.

Tuone hiyo taarifa ya kamati ya watu hao itatekelezwa vipi...lakini ni kweli Kuna divided opinion ndani ya nchi kuhusu taarifa hiyo...very divided opinion...Sasa Kama watu wanaoona taarifa ya kamati hiyo Haina Jambo la maana na kubatizwa kuwa ni genge la wasukuma tutaona athari zake...tungojee tuone.
 
Hapa atuna Rais,tuna rais wa tume,eti nchi itangaze kuwa tuna corona, wakati nchi nyingi zimeanza kuondokana na nyimbo hizo, Watu wanaanza kuchapa kazi, Sisi ndio tunaanza kuongopeshana.
Nenda india [emoji1128] utoe hayo maelezo kama hawakukunywesha chai ya pilipili. Hii ngoma ya Corona ilikosewa tangu kile kipindi cha marehemu. Sasa hivi inabidi bi mkubwa aionyeshe dunia kwamba Tanzania nayo inaungana na mataifa mengine kupambana na hili balaa. Tanzania sio kisiwa.

Binafsi nadhani hii report ni kwa ajili ya Jumuiya ya kimataifa zaidi kuliko kwa Watanzania.
 
Kamati wameshauri utaratibu huru wa watu kupata chanjo. Sasa tatizo liko wapi?

Kama wewe hutaki ama unaamini chanjo ina madhara haulazimishwi. Waache wale ambao wanataka kupewa chanjo waende wakapewe.

Watu wanalalamika kana kwamba wanajua kwamba chanjo itapofika lazima na wao wataitamani wachomwe na watashindwa kujizuia. Hivyo bora isifike tukose wote.

Kila mtu ana namna tofauti alivyoguswa na COVID-19, yeye peke yake ama watu wake wa karibu. Ingawa takwimu hazitolewi, watu wanazo takwimu za wapendwa wao ndani ya mioyo yao.

Acheni kila mtu awe huru kuamua kuhusu maisha yake. Nchi nyingine huko wamepigwa chanjo hadi 60% - ni akili za kipuuzi kuwaza kuwa hizo serikali zote wanataka kuua watu wao; ama wanasayansi na wavumbuzi wa chanjo duniani kote ni chama cha mashetani wauaji.

Naipongeza kamati kwa kazi nzuri na ushauri wa kutoa uhuru wa watu kuamua. Nawasihi serikali wakubaliane na mashauri na mapendekezo yote ya kamati.
 
Mimi naamini Mungu alishatushindia Corona
Sitachanjwa na wala sitaki barakoa wavae wapagani wasio amini Mungu

Kuvaa barakoa kwanza kunaharibu sura MTU USO unaonekana kama wa kinyago cha kimakonde
 
Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;

1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona...
Ingependeza tuelezwe bila kificho kama ni kweli maparachichi, oil chafu etc zilpatikanana na virusi au zlikua hadaa za siasa uchwara za awamu ya 5.
 
Hayo magonjwa yote huko nyuma uliyo yataja yaliambatana na hizi sarakasi za corona? Hili nalo linahitaji kuwa profesa kulitambua? Kwa nini wanaovaa barakoa hadharani leo wakati wa JPM akiishi hawakuonekana kuzivaa hadharani? Kama huu si unafiki ni nini? Kama huwezi kutofautisha corona na mengine utasaidika vipi sasa?
Hakuna aliyekuwa mbishi Kama Trump mwisho wa siku alitinga barakoa.
 
Acha ujinga wewe bwege. Kwa taarifa yako ni kuwa yule hayati kama angekuwa anazingatia kuwa Corona ni hatari asingekufa na wala yale mavifo ya ajabu ajabu yasingekuwepo. Ulizoea kuishi hivyo wewe na nani wakati mwenzako ameshafariki?

Hivi unajua kuwa India walifanya mzaha kama wewe unachotaka tufanye unaona madhara yake? Emb funga up! Hujui Corona imeigharimu nchi kiasi gani. Au kwa vile wewe hujafa?
Acha ungese wewe... Aliekwambia hayati alikufa na C19 nani.

Kwahiyo corona iliwapata wao tu na ikatuacha sisi tunao zurura kila mahali tena bila tahadhari yoyote ile...

#DALALIKAZINI
 
MATAGA/Sukuma GANG mnasahu kuwa , uongo na ujinga , Copy and Paste
Ndio legacy mlioachiwa na yule Muongo mkuu wa Chato. Mama anaendeleza tu.😂😂😂
Hayo Ni Copy and Paste Tu, Uongo na Ujinga Mwingi Ndani Ya Hayo Mavitabu
 
Sukuma GANG/ Mataga imekuaje tena, mama si anaendeleza legacy 😂😂😂
Mnapata taabu Sana kupotosha what is going on in this country at the moment. .the country is more divided now than ever ..mnapotosha kwa kudai kuwa kuwa Kuna genge or gang au to be specific the so called Sukuma gang...wote wenye Shaka na what is going on kwa Sasa mnawabatiza kuwa ni genge la Wasukuma...mmefanya dhambi kubwa mno kuingiza ukabila...itafika wakati hao Wasukuma mnaowadhalilisha wanaweza kujimobilize kwa kuona wanatengwa ndani ya nchi yao ...ni Jambo la hatari Sana kwa kweli...Kuna kabila lilinufaika na mfumo wa ukolonni na serikali zilizofuatia baada ya uhuru...wakapata elimu, wakajazana kwenye taasisi nyeti, TRA, mabenki, bandari, wizara ya fedha...wakapeana kandarasi na kadhalika...lakini hawajawahi kuitwa genge la kabila Fulani...haya tunayashuhudia Sasa dhidi ya wasukuma kwa kosa la kusingizuwa kwamba eti walifaidi enzi za JPM ...it is a dangerous move, a very dangerous move...eti wasukuma walifaidi!! ?! Ni hatari kwa kweli..Mimi siyo msukuma ila naiona hatari iliyopo..watu wengine wore wanaoonesha hofu kwa Sasa nao wanaitwa wasukuma...the so called Sukuma gang...
Ila mnashundwa kuitathimini Hali ya mitaani na hasa kwa watu wa kawaida wanafikiria Nini kuhusu JPM na namna anavyokejeliwa..wengine humu wanafanya hata kufurukusema wataenda kuweka kinyesi kwa kaburi la wanayemsema eti ni mwendazake..just imagine...Yaani humu mitandaoni Baadhi wamerundikana na kusema bad things against JPM na hakuna anayekemewa...mitaani watu in millions mioyo ya watu inavuja damu kwa kupotolewa na mtetezi wao...
Hao wasukuma wanaobaguliwa Sasa kumbukeni wako zaidi ya milioni 10 nchi nzima...mamilioni ya watu wengine pia are watching..
Kuhusu Corona let us wait and see .tuone hiyo taarifa ya kamati ya watu hao itatekelezwa vipi...lakini ni kweli Kuna divided opinion ndani ya nchi kuhusu taarifa hiyo...very divided opinion...Sasa Kama watu wanaoona taarifa ya kamati hiyo Haina Jambo la maana na kubatizwa kuwa ni genge la wasukuma tutaona athari zake...tungojee tuone...
 
Mama anaendeleza legacy 😂😂😂MATAGA/SUKUMA GANG Kama hamtaki hameni nchi💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
 
Back
Top Bottom