Watu hawataki kujua ukweli, wanasingizia kuwa nchi zimeacha vita dhidi ya corona(wanatunga porojo).
Vita ya corona imepamba moto ndio maana chanjo mbalimbali zimevumbuliwa dhidi ya ugonjwa huu.
Stage iliyopo sasa hasa ni kupata chanjo huku unaendelea kuzingatia masharti ya kujikinga kuambukizwa.
Wanaopinga asilimia 100% ni genge [emoji3][emoji3]. Genge lina kibarua kigumu kupigania legacy,,
Lakini chanjo ni hiari, so nyie kataeni chanjo ili mjifriji angalau kwa hilo.
Mnapata taabu Sana kupotosha what is going on in this country at the moment. .the country is more divided now than ever ..mnapotosha kwa kudai kuwa kuwa Kuna genge or gang au to be specific the so called Sukuma gang...wote wenye Shaka na what is going on kwa Sasa mnawabatiza kuwa ni genge la Wasukuma...
Mmefanya dhambi kubwa mno kuingiza ukabila...itafika wakati hao Wasukuma mnaowadhalilisha wanaweza kujimobilize kwa kuona wanatengwa ndani ya nchi yao ...ni Jambo la hatari Sana kwa kweli...Kuna kabila lilinufaika na mfumo wa ukolonni na serikali zilizofuatia baada ya uhuru...wakapata elimu, wakajazana kwenye taasisi nyeti, TRA, mabenki, bandari, wizara ya fedha.
Wakapeana kandarasi na kadhalika...lakini hawajawahi kuitwa genge la kabila Fulani...haya tunayashuhudia Sasa dhidi ya wasukuma kwa kosa la kusingizuwa kwamba eti walifaidi enzi za JPM ...it is a dangerous move, a very dangerous move...eti wasukuma walifaidi!! ?! Ni hatari kwa kweli..Mimi siyo msukuma ila naiona hatari iliyopo..watu wengine wore wanaoonesha hofu kwa Sasa nao wanaitwa wasukuma...the so called Sukuma gang.
Ila mnashundwa kuitathimini Hali ya mitaani na hasa kwa watu wa kawaida wanafikiria Nini kuhusu JPM na namna anavyokejeliwa..wengine humu wanafanya hata kufurukusema wataenda kuweka kinyesi kwa kaburi la wanayemsema eti ni mwendazake..just imagine...Yaani humu mitandaoni Baadhi wamerundikana na kusema bad things against JPM na hakuna anayekemewa...mitaani watu in millions mioyo ya watu inavuja damu kwa kupotolewa na mtetezi wao.
Hao wasukuma wanaobaguliwa Sasa kumbukeni wako zaidi ya milioni 10 nchi nzima...mamilioni ya watu wengine pia are watching..
Kuhusu Corona let us wait and see.
Tuone hiyo taarifa ya kamati ya watu hao itatekelezwa vipi...lakini ni kweli Kuna divided opinion ndani ya nchi kuhusu taarifa hiyo...very divided opinion...Sasa Kama watu wanaoona taarifa ya kamati hiyo Haina Jambo la maana na kubatizwa kuwa ni genge la wasukuma tutaona athari zake...tungojee tuone.