#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Huu ni mwendelezo tu, wakati wa JPM watu waliokuwa wakitoa ushauri tofauti waliitwa wachochezi, hawana uzalendo, wanatumiwa na mabeberu mpaka Kabudi akasema wakae kimya. Sasa kibao kimegeuka, watu wanalalamika...
Kauli yangu kwa comment yako ni kuwa endeleeni mitandaoni na hoja zenu za division...you will the repercussions sooner than latter..na ndipo mtakapojipiga vifua na kukiri uovu wenu mitandaoni...and it will be too late by then...
 
Kila mtu abaki na msimamo wake.ndio maana serikali haijalazimisha.

Katika makundi waliyo shauri eti viongozi wa dini wako katika mazingira hatarishi hivyo wachanjwe. Nitampiga Mchungaji na kondoo watatawanyika.

Viongozi wa Kiroho kuweni makini mlifunga na kuomba mkiongoza waumini wenu kumtegemea Mungu wa Mbinguni. Shetani mjamjanja na mhila sasa anamtumia Rais na tume ya wataalamu kutaka kuwaingiza choo cha kike kuwa maamuzi yale yalikuwa ni ujinga.
 
Hao tayari walishanunuliwa na mabeberu...hata majina yao yalikuwa Siri...
Wewe mpumbavu.Unataka hata habari ambazo hazitokusaidia.Mh Rais kachagua jopo la wataalam waliobobea ila kwa kuwa ni mjinga na sasa umepewa uhuru wa kuandika utakacho unaandika upuuzi.Watu kama nyinyi hamuitakii mema nchi yetu.Kilichokuuma rohoni ni kusikia majina ya maprofesa usiowajua.

Ngojea kijengwe chuo kikuu Chato halafu u comment.Hii awamu ya 6 inaturudisha Tena katika ramani ya Dunia.Isitoshe hakuna tena mabeberu duniani.

Nasema wewe mpuuzi,hebu nipe tafsiri ya neno mabeberu?Utakuwa hujui.Dunia ya sasa imebadilika na wewe ubadilike.Hakuna tena nchi ya kijamaa duniani,Hata Korea Ya Kaskazini wanabadilika.
 
Kauli yangu kwa comment yako ni kuwa endeleeni mitandaoni na hoja zenu za division...you will the repercussions sooner than latter..na ndipo mtakapojipiga vifua na kukiri uovu wenu mitandaoni...and it will be too late by then...
Hatuwezi kuongelea tu matokeo bila chanzo.... vinginevyo tutashindwa kujifunza. Lazima tuwe wakweli, CCM ikiongozwa na Hayati ndio wametengeneza hii hali na siasa zao chafu, bila kukubali ukweli hatutaweza kupona. Alisema Lema, ni muhimu watu wawe na outlet valve ya hasira zao, waacheni watu watoe povu, likiisha tutarudi kwenye mstari.
 
Iletwe kwa pesa zetu za kodi au kwa pesa zako binafsi? Muda mwingine muache kutumia makalio kufikiri, hata kama sio lazima, kodi yangu si ya kuchezea hivyo, ebo!
Kafungue kesi ulipwe kodi yako. Halafu chanjo kwa sehemu kubwa inakuja kama grants/msaada
 
1621317954403.png
 
Kila mtu abaki na msimamo wake.ndio maana serikali haijalazimisha.

Taifa lilioonesha msimamo wa kuigwa Dunia mzima kuwa linamtegema Mungu wa Mbinguni sasa linageuzwa kuwa kituko cha duniani na linaenda kumuabisha na kumdhalilisha Mungu wa Mbinguni kwa shetani na mawakala wake. Heri ukosema mali za dunia hii kuliko kukosa hekima na busara ya kumheshimu Mungu wa Mbinguni.
 
Mkuu unajua series ya takwimu za cvd?? Je uliwahi kuona ukimwi au malaria inakuja na takwim daily... Au ukwimu? Takwim zpi ila zinatolewa kwa anaezitaka and for events purposed... Sasa unajua kwa nn tz tuna ishi bila woga? Japocvd ipo??? Umewahi kujiuliza?? Unajua nn kinasababisha??? Think out without boarders....
Mkuu unafananisha na mlipuko wa kuambukizwa kwa hewa tena unaikumba dunia nzima kwa mkupuo na magonjwa ambayo yameshapata control strategies??

Hta kipindu pindu kikilipuka huwa takwimu karbu kila cku zinatoka coz ni mlipuko so takwimu ni muhim kujua tunacontrol vp.
 
Nawashangaa Baadhi ya watu kuanza mijadala ya kupinga suala la chanjo kama vile serikali imelazimisha kila mtu achanjwe.

Hatuwezi kuwa na mawazo yanayolingana ndani ya nchi hii tupo tunaotaka chanjo na tuna sababu zetu kwa mfano. Biashara za kimataifa, working overseas n.k kwa sasa kama huna kinga huwezi kuingia katika nchi zingine.
Na wanaopinga chanjo nao wana sababu zao kwamfano wengine wanasema chanjo ni mpango wa mabeberu kutuua .sawa zote ni sababu.

Kimsingi naipongeza serikali kuweka Uhuru kwa kila mwananchi kuamua anaetaka sawa na asiyetaka sawa. TUSIPANGIANE.

Wewe ni wakala wa kutimiza yale maandiko ya Neno la Mungu katika Biblia kuwa hakuna atakaye uza au kununua bila kuwa amepigwa chapa ile ya mpinga Kristo. Haya yalitabiriwa na Manabii miaka maelfu huko nyuma na ni bahati mbaya sana kwako wewe na mh rais mmekuwa sehemu ya kuutimiliza huo unabii. Kumbuka lile ziwa la moto wa milele lina kusubirini kwa hamu yote.
 
Wewe mpumbavu.Unataka hata habari ambazo hazitokusaidia.Mh Rais kachagua jopo la wataalam waliobobea ila kwa kuwa ni mjinga na sasa umepewa uhuru wa kuandika utakacho unaandika upuuzi.Watu kama nyinyi hamuitakii mema nchi yetu.Kilichokuuma rohoni ni kusikia majina ya maprofesa usiowajua.Ngojea kijengwe chuo kikuu Chato halafu u comment.Hii awamu ya 6 inaturudisha Tena katika ramani ya Dunia.Isitoshe hakuna tena mabeberu duniani.Nasema wewe mpuuzi,hebu nipe tafsiri ya neno mabeberu?Utakuwa hujui.Dunia ya sasa imebadilika na wewe ubadilike.Hakuna tena nchi ya kijamaa duniani,Hata Korea Ya Kaskazini wanabadilika.
Duh...I can just imagine unapoandika mpumvavu, mjinga na mpuuzi bill Shaka hapo ulipo unatoka jasho..duh...interesting...naruadia hao Ndugu zako huenda wamenunuliwa na mabeberu...rudia Tena na Tena kuandika moumbavu, mjinga na kadhalika...
 
Chanjo iletwe kwa anayetaka hatutaki kuchanjwa kwa kulazimishana hapa. Sisi wengine tumaini na tegemeo letu ni Bwana Yesu wa Nazareti aliye hai, ndiye chanjo yetu na mlinzi wetu wa uhakika hatuhitaji kuhusishwa na kuwa sehemu ya huu upuuzi.

Team ya madaktari inashauri wachanjwe waongoza watalii kwa nini wasianze wenyewe hao madaktari kuchwanjwa? Maana wao pia wako ftont line. Hatutakubali kuwa sehemu ya kumdharaulisha Mungu tuliye mtegemea siku zote katika janga hili. Mungu wa mbinguni hadhihakiwi na wala watutokubali kuwa sehemu ya kumdhihaki Mungu wetu.
Na ili uwe mnufaika wa kuingia kwenye COVAX FACILITIES inatakiwa utoe takwimu za wagonjwa. Sasa ili iwe hivyo inatakiwa watu tupeane hofu KUU, kuwekwa Lockdown kwa nguvu, kuvalishwa barakoa kwa nguvu, hapo watu watakufa kwa stress na siyo ugonjwa, ambulance kupita kwa ving'ora vya kutisha, n.k. Ikiwa hivyo EWARAAA sasa msaada wa dharula kama Kenya na Uganda twaupata kiuraini sana. TUOMBE MUNGU ATUONDOLEE HILO JANGA LA HOFU KUU
 
Wamarekani wanachapisha dollari kuwalipa watu waliowafungia kwa lazima. Kimsingi marekani is no more a super power ni suala la majira na nyakati tu kudhihirika hilo. Ndio sasa na sisi tuna kiongozi mkuu wa nchi amemamua kulipeleka taifa hili kufuata njia hii. Mungu wa Mbinguni Utusaidie.
 
Hayo magonjwa yote huko nyuma uliyo yataja yaliambatana na hizi sarakasi za corona? Hili nalo linahitaji kuwa profesa kulitambua? Kwa nini wanaovaa barakoa hadharani leo wakati wa JPM akiishi hawakuonekana kuzivaa hadharani? Kama huu si unafiki ni nini? Kama huwezi kutofautisha corona na mengine utasaidika vipi sasa?
Kwani kipindi JPM yupo corona haikuua? Mbona wazazi wangu ni wapenda dini sana lakini waliponea ICU....tulipoteza viongozi wawili wa Dini kwenye kanisa letu hapo usisahau mapadri 25 wa RC walifariki?? Sasa ina maana hao hawakuwa na Mungu??

Kuhusu kutovaa barakoa ni sababu ya kumuogopa JPM tu hakuna Kingine. Hvi JPM na uhuni wake tu maombi yake yangesikilizwa na Mungu gani? Alikua amezindikwa na majini ya kumlinda je Mungu gani alitegemewa hapo?

JPM alikufa, kma kweli alimtegemea Mungu hakupona ?
 
Dalili za majibu yalijulikana hata kabla ya wasilisho la kamati. Hakuna jipya

Tume ilipewa hadidu rejeo. What do you expect? Hujafa hùjaumbika na sikitika sana naya shuhudia haya mambo na yakinigusa kwa namna moja au nyingine.
 
Iletwe kwa pesa zetu za kodi au kwa pesa zako binafsi? Muda mwingine muache kutumia makalio kufikiri, hata kama sio lazima, kodi yangu si ya kuchezea hivyo, ebo!
Nakubaliana na wewe wanaotaka chanjo wajiandikishe walipie hela kanisa halafu serikali iwaagizie pesa zetu za Kodi zisitumike kwenye huo ujinga .

Au hospitali binafsi waruhusiwe kuagiza hizo chanjo halafu wanaozitaka waende huko hospital binafsi wakachanjwe

Kodi zetu zisitumike kwenye huo utapeli
 
Kwani kipindi JPM yupo corona haikuua? Mbona wazazi wangu ni wapenda dini sana lakini waliponea ICU....tulipoteza viongozi wawili wa Dini kwenye kanisa letu hapo usisahau mapadri 25 wa RC walifariki?? Sasa ina maana hao hawakuwa na Mungu??

Kuhusu kutovaa barakoa ni sababu ya kumuogopa JPM tu hakuna Kingine. Hvi JPM na uhuni wake tu maombi yake yangesikilizwa na Mungu gani? Alikua amezindikwa na majini ya kumlinda je Mungu gani alitegemewa hapo?

JPM alikufa, kma kweli alimtegemea Mungu hakupona ?

Mkumbafu wewe unamjua mtu anaitwa Sauli na baadaye Paulo kwenye Biblia?
 
Back
Top Bottom