Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Alikufa Mtume Mohamad na Yesu waliokatumwa na Mungu sembuse Magu apone asife kisa tu akimtumania Mungu..!!Kwani kipindi JPM yupo corona haikuua? Mbona wazazi wangu ni wapenda dini sana lakini waliponea ICU....tulipoteza viongozi wawili wa Dini kwenye kanisa letu hapo usisahau mapadri 25 wa RC walifariki?? Sasa ina maana hao hawakuwa na Mungu??
Kuhusu kutovaa barakoa ni sababu ya kumuogopa JPM tu hakuna Kingine. Hvi JPM na uhuni wake tu maombi yake yangesikilizwa na Mungu gani? Alikua amezindikwa na majini ya kumlinda je Mungu gani alitegemewa hapo?
JPM alikufa, kma kweli alimtegemea Mungu hakupona ?
Sent using Jamii Forums mobile app