Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro umeongea kama vile hauvijui vilabu vyetu vya Yanga na Simba pamoja na Tff yao ni jinsi gani walivyokuwa na janja janjaMleta bandiko ni mmoja wa ma Mbumbumbu walio bobea, Ata uyo Mzee Sudy ambaye ume mnukuu akitoa ufafanuzi hakusema kwamba Feisal hawezi Kuvunja mkataba.
Alicho Sema alichotakiwa Feisal ni kukaa na Yanga na kuwaeleza haridhiki na mkataba alionao na kutokana na wao kushindwa ku uboresha angeomba kuondoka.
Inamaana Yanga wange mjibu Kwa maandishi, Sababu za wao kutoweza kuboresha mkataba wake na kupitia andiko ilo la klabu, Feisal angekua amepata kielelezo Cha kuonyesha walisha Kaa na Yanga kujadili swala lake na hawakufikia muafaka.
Kinacho mkwamisha Feisal ni kuonekana amevunja mkataba wa pande mbili bila kuwashirikisha waajiri wake.
Wapuuzi wengine wanadai Feisal hata akirudi hatocheza Kwa Moyo Wala furaha!
Yanga hai itaji Moyo wa Feisal, Moyo ubakie kusukuma damu anachotakiwa ni kuwajibika kwenye mkataba wake.
Feisal analipwa na klabu hachezi Bure, angekua anacheza bila kulipwa, hoja ya kucheza Kwa Moyo ingekua na mashiko.
Huu mkataba Feisal angefanikiwa ku
uvunjwa Kwa namna alivyo fanya, kwanza Dunia ingetuona watu wa ajabusana na ingeanzisha migogoro mingi baina ya wachezaji na klabu na wachezaji wangekua wakitumia reference ya mgogoro huu.
Kwa namna alivyo fanya Feisal ata aende CAS hatoboi, sanasana utakua ni mwendelezo wa Wanasheria wake kujitafunia pesa za Yusufu Bakresa.
Yusufu ambaye ndie yuko nyuma ya sakata hili, na Mimi nawashauri Wanasheria endeleeni kuzitafuna izo fedha msiwe na huruma hata kidogo, izo ni fedha zetu za matokeo ya kukwepa Kodi Serikalini Sasa zinampa jeuri.
Mwambie kule CAS mtafanya namna mtashinda iyo kesi Ili kuendelea ku utafuna uo mgodi wa fedha.
Umeongea vizuri kwani hata yanga wanajua feitoto kavunja mkataba ila hakufata utaratibu lakini kamati badala ya kujadili hoja ya yanga ya kuangalia kama feitoto kafata taratibu au la imeenda kutoa maamuzi mengine kabisaBro umeongea kama vile hauvijui vilabu vyetu vya Yanga na Simba pamoja na Tff yao ni jinsi gani walivyokuwa na janja janja
Binafsi siamini kama Fei hakuwahi kuwambia Yanga kuhusu hatua anazotaka kuchukua za kuvunja mkataba
Kama Tff waliona Fei hakufuata protocol za kuvunja mkataba kwa nini wasimwambie ukitaka kuvunja mkataba wako fanya hivi ndio Sheria inavyotaka badala yake wanamlazimisha aendelee kuichezea Yanga?
Kama kuna kipengele kwenye mkataba kilichomruhusu kufanya hivyo, huu utetezi wenu ni ujinga mtupu.Duh mmeamua kujitoa ufahamu. Kama ni kuvunja aje tukae mezani tujadili na sio kuamka na kuweka hela kwenye account na kusema amevunja.
Huko duniani unakosemea waarabu na wachina wangekua wananyanyasa sana vilabu vya Ulaya.
Mmejaa ujinga mwingi sana, kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyojaribu kujidanganya, hao TFF na Kamati yake wasingepoteza muda ili kuwabeba, utetezi wenu kwenye hii issue ni ujinga mtupu.Mleta bandiko ni mmoja wa ma Mbumbumbu walio bobea, Ata uyo Mzee Sudy ambaye ume mnukuu akitoa ufafanuzi hakusema kwamba Feisal hawezi Kuvunja mkataba.
Alicho Sema alichotakiwa Feisal ni kukaa na Yanga na kuwaeleza haridhiki na mkataba alionao na kutokana na wao kushindwa ku uboresha angeomba kuondoka.
Inamaana Yanga wange mjibu Kwa maandishi, Sababu za wao kutoweza kuboresha mkataba wake na kupitia andiko ilo la klabu, Feisal angekua amepata kielelezo Cha kuonyesha walisha Kaa na Yanga kujadili swala lake na hawakufikia muafaka.
Kinacho mkwamisha Feisal ni kuonekana amevunja mkataba wa pande mbili bila kuwashirikisha waajiri wake.
Wapuuzi wengine wanadai Feisal hata akirudi hatocheza Kwa Moyo Wala furaha!
Yanga hai itaji Moyo wa Feisal, Moyo ubakie kusukuma damu anachotakiwa ni kuwajibika kwenye mkataba wake.
Feisal analipwa na klabu hachezi Bure, angekua anacheza bila kulipwa, hoja ya kucheza Kwa Moyo ingekua na mashiko.
Huu mkataba Feisal angefanikiwa ku
uvunja Kwa namna alivyo fanya, kwanza Dunia ingetuona watu wa ajabusana na ingeanzisha migogoro mingi baina ya wachezaji na klabu na wachezaji wangekua wakitumia reference ya mgogoro huu.
Kwa namna alivyo fanya Feisal ata aende CAS hatoboi, sanasana utakua ni mwendelezo wa Wanasheria wake kujitafunia pesa za Yusufu Bakresa.
Yusufu ambaye ndie yuko nyuma ya sakata hili, na Mimi nawashauri Wanasheria endeleeni kuzitafuna izo fedha msiwe na huruma hata kidogo, izo ni fedha zetu za matokeo ya kukwepa Kodi Serikalini Sasa zinampa jeuri.
Mwambie kule CAS mtafanya namna mtashinda iyo kesi Ili kuendelea ku utafuna uo mgodi wa fedha.
Mbumbumbu uliye bobea ainisha eneo ambalo Yanga wame bebwa na Tff. Kesi ya Feisal ni eneo ambalo lilikua alihitaji usomee Sheria Ili utambue kama Feisal kapigishwa shoti.Mmejaa ujinga mwingi sana, kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyojaribu kujidanganya, hao TFF na Kamati yake wasingepoteza muda ili kuwabeba, utetezi wenu kwenye hii issue ni ujinga mtupu.
Nimemsikia akiSISITIZA kwamba hata MIKIA FC aka makolo wako behind the scene. Huu nao ni ushahidi wa wazi. Siamini kama taifa lina watu wawajinga kiasi hikiNgoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
Che Guevara🫡
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
Mkataba unajieleza umeuona wote na vifungu vyake? Nyie ndio mbumbumbu wanaosemwa na Sudy unabeba kakipengele kamoja ndio unaruka nako ujui mkataba ni mjumuiko wa vipengele vingiUmeandika upuuzi mtupu.
Mtu anapotaka kuvunja mkataba kwa kulipa gharama ya uamuzi wake huo kunakuwa hakuna sababu tena ya kukaa mezani, mkataba wenyewe unajieleza.
Leta huo mkataba tuone ukoje acha kudandia treni kwa mbeleHakuna mahali popote kwenye mkataba wa Feisal panapotamka suala la kukaa mezani kuzungumza kwanza ikiwa Feisal atataka kuvunja mkataba kwa kulipa gharama za mkataba wake.
TFF ni wajinga na wapuuzi.
Wewe ni Mbumbunbu OG, Al Nassr ndio wameterminate mkataba na kumrelease Vincent ili wapate nafasi ya kumuaccomodate Ronaldo tena baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
Che Guevara🫡
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
Kwani Feisal kwenye mkataba wake aliokuwa nao kuna saini za pande zipi?Hakuna mahali popote kwenye mkataba wa Feisal panapotamka suala la kukaa mezani kuzungumza kwanza ikiwa Feisal atataka kuvunja mkataba kwa kulipa gharama za mkataba wake.
TFF ni wajinga na wapuuzi.
Hata hili ni la kuambiwa na TFF kweli ,kwani ktk kesi yake nani alimwambia atafute wakili wa kumtetea?Bro umeongea kama vile hauvijui vilabu vyetu vya Yanga na Simba pamoja na Tff yao ni jinsi gani walivyokuwa na janja janja
Binafsi siamini kama Fei hakuwahi kuwambia Yanga kuhusu hatua anazotaka kuchukua za kuvunja mkataba
Kama Tff waliona Fei hakufuata protocol za kuvunja mkataba kwa nini wasimwambie ukitaka kuvunja mkataba wako fanya hivi ndio Sheria inavyotaka badala yake wanamlazimisha aendelee kuichezea Yanga?
Ingekuwa na suala la kutaka au kutotaka mikataba isingelikuwa na maana kusaini.Yanga acheni kulazimisha dogo hawataki tena,kitendo alichokifanya kinajieleza kabisa hautaki mshahara wenu,anachozaka ni kuondoka tu.
Hata mkikaa mezani swala litabaki pale pale....vipengele vya mikataba ni vibovu sana...pia ujanja ujanja wa kuwanyonya wachezaji wazawa ufike mwisho...unaweza kuta hiyo M4 fei anakula m2 zingine zinaenda juu KWA juu.
Wameshindwa kuweka vifungu TFF sembuse mtoa uziUmepuyanga tu bila hata kuweka vifungu vya sheria unavyotaka watu wajue kuwa Feisal ameonewa na kamati.
Ukiwa na akili timamu utagundua hakuna sehemu Yanga au kamati au mtu yoyote mwenye akili timamu amesema Feisal hawezi kuvunja mkataba na Yanga, ila kilichopo ni utaratibu na hajalazimishwa kubaki Yanga ila akafate utaratibu.
Sasa ukitaka kueleweshwa uliza ni utaratibu gani unatakiwa Feisal aufate ili kuvunja mkataba wake lakini ukija na haya matakataka yako ya sijui mbona Akpan na Okwa wamevunjiwa utaulizwa kuwa kwani unadhani mikataba ya wachezaji inafanana masharti yake?
Huyo Vincent Abubakar hujui hata kilichofanyika baina yake na Al Nasr ila unajaribu tu kufananisha vitu usivyovijua.
Hakuna majadiliano..unachotakiwa kupeleka ni uthibitisho tu kwamba umelipa mishahara/mshahara wao.Wabobezi wa Sheria,ninaomba Mwongozo,
-Mimi ni mtumishi wa taasisi moja ya umma, kwenye mkataba wangu,kuna kipengere kinachosema,nikitaka kusitisha mkataba,nitoe notisi ya miezi 2 au nilipe mshahara wa mwezi moja, kusitisha mkataba mara moja.
-Nimepata kazi kwenye taasisi ya kimataifa, mshahara wangu ni mara nne ya mshahara wangu wa sasa na ninatakiwa kuripoti mara moja.
-Ninaomba Mwongozo Kama kuna ulazima wa kukaa meza moja na mwajiri wangu wa sasa tujadiliane suala la kuacha kazi kwenye hiyo taasisi ya umma.
- Kama nitatimiza takwa la (kwenye mkataba) kulipa mshahara wa mwezi mmoja na kutoa taarifa ya kusitisha mkataba nikiambatanisha na vielelezo vinavyotakiwa nitakuwa sahihi?
-Watumishi wengi wanapopata malisho ya kijani ( Green Pasture) huwa wanawasilisha barua za kujiuzuru.
-Huwa inakera kwa mwajiri,(hasa kama mtumishi alikuwa tegemeo katika taasisi).
-Lakini ni haki ya mtumishi kutafuta malisho ya kijani.
-waajiri wengi wanajua kuwa wanawanyonya watumishi wazawa na wanawalipwa vizuri watumishi wa kigeni.
-Ushauri :waajiri wawalipe vizuri watumishi au wachezaji wazawa kulingana na ubora wao au waruhusiwe kutafuta changamoto na fursa Sehemu nyingine.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Amua wewe basi. Maana kubweka bweka tu humu jukwaani, hakubadilishi chochote.Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
Che Guevara🫡
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
Dunia gani ambayo ukiamka asubuhi unasema nimevunja mkataba siendi kazini? Wanasheria waliofaulu nchi hii wako 26 tu wewe ni miongoni mwa Mbumbumbu 612.Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.
Kamati inataka kusawazisha ubao, inataka kuibeba Yanga, inataka kujisafisha mbele ya Yanga kutokana na mahusiano yao kuanzia kesi ya Morrison na sakata la “Bingwa la Kufeli”.
Hakuna mkataba wa kazi duniani hauvunjiki na hakuna namna ya mkataba wa Feisal umeelekeza kwamba hawezi kuuvunja akaondoka. Wanaoimba Busara wanataka Fei aingie upepo na arudi Yanga kutumikia mkataba asoupenda.
Waandishi na watu wenye nguvu mitandaoni wanatumika kupotosha hili sakata makusudi ili kutisha wachezaji wazawa waendelee kucheza kwa huruma. Lakini ukweli ni kwamba FEISAL keshaondoka Yanga na sasa au mwisho wa msimu atacheza sehemu nyingine.
GENDAEKA wengi wanapiga kelele ili kuifunika Kamati ya hadhi ya wachezaji ambayo kimsingi ni kamati dhaifu. Kwangu mimi hii kesi Feisal anakwenda kushinda CAS au mamlaka za kinchi lakini hawezi kucheza Yanga. Yanga wakubali tu kwamba Feisal ana uwezo wa kununua mkataba wake na akaendelea na maisha mengine.
Hili litakua funzo kwa idara za Sheria pamoja na wanaosajili wachezaji na wanaosimamia wachezaji. Niwakumbushe tu, hakuna mkataba usofunjika Duniani kote. Kama Simba walivyovunja mkataba kwa Akpan na Okwa na kama Yanga kwa Kambole.
Che Guevara🫡
NB:
Vicent Aboubakary baada ya kutakiwa na Man United ameamua kuvunja mkataba na Al Nasry.
Nilikuwa sijaona NB yako. Kumbe wewe ni Mbumbumbu wa kiwango cha juu? Aliyekwambia Vincent Abubakar kavunja mkataba Kwa kutakiwa na Man Utd ni Nani? Huyo Vincent keshasajiliwa na Man U? Tukwambie tu hujui, ni kwamba Idadi ya Wachezaji Kwa sheria za nchi ilizidi na Kwa vile kibiashara Al Nasry wanamuhitaji Ron zaidi kuliko Vincent wakamwita mezani wakafikia makubaliano ya pande mbili wakamwacha.Ngoja niwe mkweli, kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kuamua kesi ya Fei Toto, nimesikiliza interviews za Mwenyekiti Mzee Said Sudy namna anavyoongea unajua kabisa hakuna wanachoweza kuamua.