Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068

Ni jambo la kudikitisha.
Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika.

Alifikaje Ikulu?
Ana biashara gani Ikulu?
Analipa kodi?
Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia?
Kuna dalili za wazi za ufisadi, wizi na uporaji wa mali ya umma.

Wananchi hasa wana CCM tupate majibu.

Kamati ya maadili hivi majuzi imemvua chapa chap Dr Emmanuel Nchimbi uanachama kwa kuenda kinyume na maadili ya chama.

Kamati hii ya CCM inamfikiriaje Mama Samia kwa haya madudu ya wazi yanayohitaji kuwajibika kikamilifu.
 
Kama bado, tujifunze sasa, kila tunapojikuta kwenye nyakati ambapo tunahoji tunaloliona baya, kulinganisha ukubwa/uzito wake na mabaya yaliyopita.

Kwenye mauaji na mengine yafananayo walifanyaje? Kutegemea mema kwenye mepesi si kujihadaa?
 
Mwenyekiti kuna wa kumkaanga? Nani wa kufunua mdomo kuhoji?
 
Mwenyekiti kuna wa kumkaanga? Nani wa kufunua mdomo kuhoji?
 
Mshikaji kajiachia na kuchezea simu kwenye Ikulu yetu
 
Kama bado, tujifunze sasa, kila tunapojikuta kwenye nyakati ambapo tunahoji tunaloliona baya, kulinganisha ukubwa/uzito wake na mabaya yaliyopita.

Kwenye mauaji na mengine yafananayo walifanyaje? Kutegemea mema kwenye mepesi si kujihadaa?
Katika uhalifu Rais aondolewe kinga kikatiba.
 
 
Imagine kuna mwamba tapeli na mpiga dili za haramu kutoka nje ya nchi anakuja ikulu kama anaingia chooni kwake, ila wananchi wa Tz hawatakiwi hata kumsogelea rais 😂

Ndo mana marais wa Afrika wakienda huko usa na Ulaya wanatembezwa kwa miguu umbali mrefu au kuwekwa kwenye daladala, ila wakiwa nyumbani ni mwendo wa V8 hata kama n umbali wa 1km
 
Alifikaje Ikulu?
Ana biashara gani Ikulu?
Analipa kodi?
Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia?
Kuna dalili za wazi za ufisadi, wizi na uporaji wa mali ya umma.

Wananchi hasa wana CCM tupate majibu.
Inasemekana kuna namna alihusika kwenye wizi wa uchaguzi...



Na pia aliwezesha matukio ya MO29 kwa kutoa baadhi ya vitendea kazi..


View: https://x.com/kuringechadema/status/1983877445640954067
 
Kama CCM si gulio la uhalifu, wachukue hatua madhubuti katika hili.

Wizi unatia aibu Taifa.
Mwalimu aliwahi kusema Ikulu ni mahali patakatifu- sio sasa, ni mahali pa matapeli.
Mtu achukuliwe hatua kama mwana CCM na si Rais.
 
Chama Cha Majizi
 
Wazo lako lingewezekana kidogo ikiwa Kofia ya mkt wa chama ingetenganishwa na Kofia ya rais

Kwa Sasa hicho unachokisema hakiwezekani
 
Wazo lako lingewezekana kidogo ikiwa Kofia ya mkt wa chama ingetenganishwa na Kofia ya rais

Kwa Sasa hicho unachokisema hakiwezekani

Hii ndo ya kupigania CCM hiki kitu kinatakiwa kutenganishwa kama
Kweli CCM tuko serious na kutaka kuendelea kuongoza Nchi
 
Hii ndo ya kupigania CCM hiki kitu kinatakiwa kutenganishwa kama
Kweli CCM tuko serious na kutaka kuendelea kuongoza Nchi
Huko kumejaa wachumia tumbo chochote chenye positive impact kwa nchi ila negative impact kwa chama hamkitaki ndio maana mwenyekiti wenu anawatia madole na hamna Cha kumfanya
 
Kuna kima wakiingia hilo jengo wanajikunja kama wana ngiri ila merehemu anatanua miguu nankujamba freely na ku chat juu
 
WATANZANIA WANASEMA HAWAHUSIKI😭 WATANZANIA NCHIMBI YUKO WAPI !WANACCM WANAJIBU NENDA NYUMBANI KWAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…