Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

Kama CCM si gulio la uhalifu, wachukue hatua madhubuti katika hili.

Wizi unatia aibu Taifa.
Mwalimu aliwahi kusema Ikulu ni mahali patakatifu- sio sasa, ni mahali pa matapeli.
Mtu achukuliwe hatua kama mwana CCM na si Rais.
Nenda Taratibu mdau ...

Polepole aliongea kama haya ila mwishowe....

 
Maswali aliyouliza mwalimu Nyerere tumeamua kuyauliza leo.Ikulu kuna biashara gani hadi mtu kuua watu na kuikimbilia?Ikulu ni mahali patakatifu.Kuna biashara gani inaendelea hapo?
 
Tatizo lenu mnaoongea na bubu mnadhani anasikia na atawajibu. CCM ashajichokoea hawezi kujibu, ila ukitaka jibu subiri jeshi la polisi watakuja kujibu kwa niaba au Mwaipopo atakufuata na jeshi lake!
 
CCM kamati yenu ya maadili, mnalichukuliaje hili swala la Chivalo kunajisi mustakabali wa Ikullu ya Tanzania.
 
Ccm ni Samia
Samia ni CCM
Hakuna ccm bila samia
Hakuna mwenye uwezo wa kukosoa chochote anachofanya samia.
 
 

Attachments

  • IMG-20260717-WA0001.jpg
    71.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260514-220943~2.png
    600.8 KB · Views: 5
  • 1790929942246.png
    465.3 KB · Views: 6
  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 5
hatari sana,kukaa tu mbele ya Rais kakaa kihunikihuni,nawaza angeweza kukaa hivyo mbele ya Mwamba JPM??hakika Ikulu kwa sasa panadharalaulika sana
 
Ccm ni Samia
Samia ni CCM
Hakuna ccm bila samia
Hakuna mwenye uwezo wa kukosoa chochote anachofanya samia.
Kwa wana CCM hili linafedhehesha sana.

Watu wanaoonekana kama wana akili, kina Kabudi, Wassira au hata AshaRose Migiro, haya ni matusi kwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…