Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Milioni 9!! Silipi afadhali nizitumie kupoza kiu kwa kilimanjaro baridiiii!!!!
 
walitaka apewe na adhabu ya kutoishangilia simba for the rest of his life ikapingwa... jokin
 

Mzee wa "Hii ndio simba buana"

wangempiga hadi miezi 36 akafie mbele huko.
 
angeenda kujitetea ingeweza kupunguza ukubwa wa adhabu tofauti na kuwaacha waamue wenyewe waonavyo inafaa
 
Unajuaje kama kasema ukweli? Mbona ameshindwa kuthibitishwa?
Hahahah utaishia kusema lete uthibibitisho ndo zetu za kibongo, Kwa nini walimnyima Manara nafasi ya kujieleza kwenye mahakama yao hiyo ya kimichezo? Mbona aliyetuhumiwa hajakanusha hata neno moja la Manara kaishia kutoa adhabu tu. Yangoswe muachie mwenyewe mkuu.
 
utakua hufatilii mipira ya nje, kocha anapigwa fine tu kwa kusema tu kuwa hana iman na refa itakua hayo maneno ya manara? tuache ushabiki bhana
Faini hiyo ni kubwa mno ukilinganisha na kosa lenyewe.
 
Adhabu ni kali mno na maneno aliyoropoka msemaji wa klabu ya S nayo ni makali mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…