Mwaya J
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 80
Huyu Manara anaongea kutaka huruma za watu na siyo hoja, masuala ya ukabila kwenye soka yanakujaje? kwani wakati wanachaguana kwenye chaguzi zao zao za TFF Simba hawakujua hilo? Anatishia Simba kuandamana eti wana nguvu kuliko siasa,shit..!!! Manara ametoka kwenye mstari wa soka anapuyanga vichakani, hata kama TFF wako hovyo yy amezidi uwa hovyo zaidi