Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Huyu Manara anaongea kutaka huruma za watu na siyo hoja, masuala ya ukabila kwenye soka yanakujaje? kwani wakati wanachaguana kwenye chaguzi zao zao za TFF Simba hawakujua hilo? Anatishia Simba kuandamana eti wana nguvu kuliko siasa,shit..!!! Manara ametoka kwenye mstari wa soka anapuyanga vichakani, hata kama TFF wako hovyo yy amezidi uwa hovyo zaidi
 
TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
Atalipiwa na Simba kwa sab kafanya kosa akiwa kazini
 
Wangekuwa wanatoa adhabu kama hizo kwa vitendo vya rushwa kwenye huu mchezo ningewapenda sana TFF. lakini maovu ya rushwa ambayo yanautafuna mchezo wa soka wanayafumbia macho wanakurupuka na kauli tata za wasemaji wa vilabu!!!
Rushwa ni kitendo cha siri sana sio rahisi kukibaini.
 
Kuhusu swala la Manara huu ni upuuzi maana FFF wakiambiwa ukweli wanatoa adhabu za kipuuzi kabisa zisizo endana na kosa kama kumkomoa mtu, kwa utaratibu wa kichovu kama huu hatuwezi kufika mbali kisoka na kwa mfumo ilionao FFF kwa sasa sins uhakika kama watawatunza wale vijana wetu ili waendelee kucheza soka zuri kama wanavyofanya sasa.
Unajuaje kama kasema ukweli? Mbona ameshindwa kuthibitishwa?
 
TFF wabishe kwa hoja aliyoyasema co kufukuzana tuu
Hoja kubwa ni Kutakata rufaa nje ya muda. Sawa na Rufaa ya Polisi Dar dhibi ya Simba kumchezesha Lufunga akiwa na Red card FA. Rufaa ya Polisi ilitupiliwa mbali kwa kuwa iliwasilishwa nje ya muda, masaa 72.

Simba hawakulipa ADA ya kukata rufaa.

Kamati ya masaa 72 iliyo amua kuipoka Kagera point zake awali ilikuwa na wajumbe feki. Wajumbe wasi husika.

Pia mpira ni uwanjani. Hakuna mbeleko ktk mpira wa kiume.

Maandamano FC anzisheni na Tawi la Chama cha Siasa.
 
TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
Maandamano FC watamlipia. Sabb kosa alilitenda akiwajibika (akiwa kazini) kwa boss wake Simba.

Ilikuwa ni Press ya Simba Official.
 
Mm nataka TFF wanipigie BASHITE.

Yaani TFF ukiitwa tu Kamati ya Maadili ujue umeenda na Maji.
JPM anajidai yy ni kiboko wa kutumbua Majipu "HAPANA" BASHITE kamshinda ila TFF kwa Majipu ni Kimbhokoooo (In Kiha's Voice).
 
Haji manara kifungo miezi 12 faini milioni 9, Muro kifungo miezi 12 Faini milioni 3

HIYO FAINI NA KIFUNGO AMEPEWA HAJI MANARA AUUUUUUUUUUU
Uzito wa makosa ni tofauti, so na adhabu lazma zitofautiane
 
TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
Mfano wewe ungejiweka kwenye nafasi ya TFF ungempa adhabu gan?
 
Wangempa faini tu ya kishikaji.
Kuwafungia wasemaji wa Yanga na Simba kunapelekea kupunguza hamasa ya ushabiki wa mpira.
Waajiri watu wenye weledi, sio makanjanja wa kuropoka ovyo.
 
Back
Top Bottom