Kamati ya Maadili ya Bunge leo inaendelea kumuhoji Askofu Gwajima

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bwana Yesu apewe sifa!

Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima.

Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Bwana Yesu apewe sifa!

Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.

Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

Imekopiwa toka kwa FaizaFoxy
 
Mwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....

Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....

#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Imeandikwa " ....usimjaribu Bwana Mungu wako"
 
Leo hakikisha mikono yako haigusi kitu chochote na ikibidi ongea kwa "body language" zaidi, "don't let them accomplish their vanity!" Bishop Gwajima, long live, long live!
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?

Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

Imekopiwa toka kwa FaizaFoxy
 
Mwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....

Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....

#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Hakuna mahali askofu Gwajima amempinga mwenyekiti wa CCM

Kamati ya uviko 19 ilisema wananchi washauriwe Kuchanja au La.

Askofu Gwajima kachagua La

Jokate kachagua Kuchanja

Polepole kachagua La

Mbowe kachagua Kuchanja!

Kuchanja ni hiyari komredi
 
Bwana Yesu apewe sifa!

Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.

Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?

Mungu ni mwema wakati wote.
Kwhy juzi alienda kusalimia tu au
 
Mwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....

Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....

#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Unafikiri kwanini,je ni utiihalisi au utii wenye chembechembe kama za Gwajiboy.
 
Macho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?[emoji23]
JamiiForums2011088224.jpg
 
Mwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....

Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....

#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Back
Top Bottom