Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Askofu anaogopa kiti....anaogopa ushirikinaMacho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askofu anaogopa kiti....anaogopa ushirikinaMacho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?😂
Tulikuwa tunasema " Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM "Zidumu fikra za mwenyekiti
Bado fikra za mwenyekiti zinalindwa mpaka leo hata kama ni useless? Mbona yeye mwenyewe anataka kukosolewa, kwanini wewe umsemeeMwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....
Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....
#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Mwenyekiti anaweza kukosolewa kwa STAHA na mwanachama wa CCM....si kwa ZODO ,DHIHAKA NA MASHAMBULIZI.....Bado fikra za mwenyekiti zinalindwa mpaka leo hata kama ni useless? Mbona yeye mwenyewe anataka kukosolewa, kwanini wewe umsemee
Sioni sehemu yoyote aliyomshambulia mwenyekiti wa chama na Rais.Kweli ni hiyari Komredi......
Na wengi tu wanaitetea hiyari yao hiyo.....
Ila.......
Mh.Gwajima alianza kwa KUWALAANI VIFO MADAKTARI wetu wote ambao wanahimiza chanjo dhidi ya UVIKO huku akisema kuwa VIONGOZI WAMEHONGWA MAPESA YA NJE kuhimiza chanjo na akataja kuwa KIPINDI CHA URAIS WA HAYATI JPM hayakuwepo hayo.....je hapa hajamshambulia Rais na mwenyekiti wetu wa chama ?!!
Hili kwako ni dogo Komredi wangu ?!!!
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
Hizi itikadi za Kirusi au china ya kale ngumu kuendana na karne ya sasa ya kizazi huruMwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....
Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....
#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Yes ajilinde na corona itamuua kama mzee pombe.Gwajima jilinde mara zote binadamu hatabiriki
Huyo ni tapeli tu,awadanganye MISUKULE yake,Bwana Yesu apewe sifa!
Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.
Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?
Mungu ni mwema wakati wote.
Imeandikwa " ....usimjaribu Bwana Mungu wako"
Kwani ni uwongo kuwa Rais hajasaini pesa ili chanjo ziletwe?Kweli ni hiyari Komredi......
Na wengi tu wanaitetea hiyari yao hiyo.....
Ila.......
Mh.Gwajima alianza kwa KUWALAANI VIFO MADAKTARI wetu wote ambao wanahimiza chanjo dhidi ya UVIKO huku akisema kuwa VIONGOZI WAMEHONGWA MAPESA YA NJE kuhimiza chanjo na akataja kuwa KIPINDI CHA URAIS WA HAYATI JPM hayakuwepo hayo.....je hapa hajamshambulia Rais na mwenyekiti wetu wa chama ?!!
Hili kwako ni dogo Komredi wangu ?!!!
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
Huwezi kumjaribu Mungu,Yesu mnazareti alikataa mchezo huo alipoambiwa ajirushe kutoka juu eti malaika wangemlinda.Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Imekopiwa toka kwa FaizaFoxy
Hapa una maanisha Yesu alikataa kumjaribu Mungu?Huwezi kumjaribu Mungu,Yesu mnazareti alikataa mchezo huo alipoambiwa ajirushe kutoka juu eti malaika wangemlinda.
Wewe unayeanini unaweza kunywa sumu? Tafsiri yako ya uelewa wa biblia sio uniform kwa kila mkristo hivyo hupaswi kumlaumu mkristo mwingine anavyotafsiri tofauti na wewe.Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Imekopiwa toka kwa FaizaFoxy
Huko ni "kununuliwa" kwa mtu binafsi ambako Gwajima anakutuhumu?Kwani ni uwongo kuwa Rais hajasaini pesa ili chanjo ziletwe?
Rais amesaini pesa za mkopo akaambiwa na masharti ya kufuata Kama vile kutoa takwimu ndipo tukaletewa chanjo, so Gwajima Yuko sahihi maana asingesaini na kukubali masharti tusingeletewa chanjo Kama ambavyo JPM alikataa hayo masharti ya hizo pesa za chanjo.
Upuuzi mtupu sisi werevu hamtutoi kwenye kiki zenu za kijinga...Nyie endeleeni kuhamishahamisha mijadaja..Unaelewa maana ya "......itaendelea"