johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?Bwana Yesu apewe sifa!
Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.
Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?
Mungu ni mwema wakati wote.
Imeandikwa " ....usimjaribu Bwana Mungu wako"Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?
Marko 16:
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Imekopiwa toka kwa FaizaFoxy
Si wanasema sumu haiwadhuru? Sasa Gwajima leo hayaamini maneno ya Biblia au mnaoutetea ujinga wake nanyi hamuiamini Biblia?Leo hakikisha mikono yako haigusi kitu chochote na ikibidi ongea kwa "body language" zaidi, "don't let them accomplish their vanity!" Bishop Gwajima, long live, long live!
Kwa hiyo kwenye Corona wanamjaribu?Imeandikwa " ....usimjaribu Bwana Mungu wako"
Hakuna mahali askofu Gwajima amempinga mwenyekiti wa CCMMwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....
Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....
#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Corona ni nini?Kwa hiyo kwenye Corona wanamjaribu?
Kwhy juzi alienda kusalimia tu auBwana Yesu apewe sifa!
Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uwongo na kulivunjia bunge heshima.
Je, Askofu Gwajima atakwenda na kiti chake au atasimama?
Mungu ni mwema wakati wote.
Unaelewa maana ya "......itaendelea"Kwhy juzi alienda kusalimia tu au
Unafikiri kwanini,je ni utiihalisi au utii wenye chembechembe kama za Gwajiboy.Mwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....
Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....
#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Na yako piaNa yako pia!
Macho ya mtumishi yanaona mbali.gwajima katufungua macho mimi nilikuwa nadhani vyakula ndo hatari kumbe hata viti?[emoji23]
Hahahaha[emoji23]Waje wayachukue maana wao wanatenda matendo ynayonuka kama mavi
Zidumu fikra za mwenyekitiMwanachama aliyeiva ITIKADI ya CCM huwa HAMPINGI MWENYEKITI WETU WA CHAMA HADHARANI....ni mwiko hayo.....
Ni mwiko kabisaaa.....sijajua huko kwenye vyama vya kiliberali.....
#UtiiKwaMwenyekitiNiLazima
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#SiempreJMT
#KaziIendelee