Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

Ole wake nchi ambayo kiongozi wake ni kijana na hula asubuhi.
 
Bangi za kuvutia chooni zina madhara sana,manake si kwa uharo huu
 
Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie anaeamua tu ,manara atawaumbua na kuwavua nguo ,
Kamati ya TFF wangechelewa kuitolea taarifa hii au kuiandikia barua kama walivyoandika, still mngebaki bado mnaisema TFF kwa kuchelewa kuja na statement yoyote. Sasa TFF wameanza harakati chapu bado pia mnaona wanakurupuka. Ila wabongo ni watu wa lawama tu siku zote. Mpira siku hizi umeahamia kwenye Midomo kuliko uwanjani, yani kila mtu ni msemaji, na kila mtu anajua sheria. Ifike stage tuachie mamlaka husika wamalizane.
 
Back
Top Bottom