Kamati ya maandalizi ya kuapishwa uongozi mpya wa CC!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
Salaam wanaCC kwa mara nyingine!

Baada ya uongozi wa Baba V kupinduliwa rasmi chini ya mwanamapinduzi mahiri Nivea, kwa heshima na taadhima tunamwomba Madame B wakishirikiana na Mrembo by Nature na wengine mtakaona wanafaa waratibu zoezi zima la kuapishwa uongozi mpya wa muda wa CC haraka iwezekavyo, ili waanze kazi mapema iwezekanavyo!

Slogan ya uongozi huu mpya wa mpito ni "smart and sharp leadership"

Ahsanteni sana wanamapinduzi!

Wenu,

-==-=-=-=- UNDENIABLE.

NAKALA KWA UONGOZI MPYA WA MPITO:
Arabela - mwenyekiti Himidini - m/mwenyekiti Lady doctor - katibu Heaven on earth - n/katibu Nivea - mweka hazina Chimbuvu - kamati mahusiano Queen Kan - uratibu ndoa saudari - mpiga picha na kumbukumbu The secretary - uratibu wageni!

na wajumbe wote!
 
Last edited by a moderator:
Kuna nini mbona mimi sielewi....
 
huwezi kuapisha mtu ambaye hakuchaguliwa kidemokrasia na hawezi kukubalika
 
Baba V maskini ya mungu huu mwaka wa fedha umekuendea vibaya!!
 
Last edited by a moderator:
Tokea Heaven on earth atengane na wewe, hujakaa sawa!

Tuliza monkari kwanza mkuu afu taratibu zifuatwe!!
 
Last edited by a moderator:
Huu uongozi mpya unaundwa na wakuja humu CC. Baba V unakubalika na kuheshimika na wanakijiwe wa kudumu.
 
Last edited by a moderator:
Uongozi!?!

Wa mpito!?!

Wa kudumu!?!

Umewekwa kwa nguvu ya nani?!?

Strengh na weakness zake ni zipi?!?

Cc hommie Kaizer helepu mii pliiz! Azawaiz ai niid e dokta!
 
Last edited by a moderator:
Uongozi!?!

Wa mpito!?!

Wa kudumu!?!

Umewekwa kwa nguvu ya nani?!?

Strengh na weakness zake ni zipi?!?

Cc hommie Kaizer helepu mii pliiz! Azawaiz ai niid e dokta!

On behalf of Kaizer!!

Hakuna uongozi mpya hapa,
Few guys for their own interest tryn' to ruin our mambo here!!
BTW..they hav bn chased away already...
 
Last edited by a moderator:
Huu utaratibu wa kupinduana mmeupata wapi?
Nivea tafadhali hili jukwaa halijazoea vurugu.

Mapinduzi yaliyofanyika ni ya "Kichina" a.k.a feki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…