Kamati ya maandalizi ya kuapishwa uongozi mpya wa CC!

Kamati ya maandalizi ya kuapishwa uongozi mpya wa CC!

Oya week end inakuaje!??

Wiki endi imetulia sana mwenyekiti. Nawashangaa madogo wanahangaika na cheo chako. Nawaendea kwa mandondo hapo nonde nikawanunulie matikiti maji waone kama hawajazisahau sarawali. Hao mademu dawa yao ni full apoloni mwaka mzima. wape onyo la kwanza hili kama hawasikii wataelewa tu. Ulokole nauvua kwa muda.
 
Salaam wanaCC kwa mara nyingine!

Baada ya uongozi wa Baba V kupinduliwa rasmi chini ya mwanamapinduzi mahiri Nivea, kwa heshima na taadhima tunamwomba Madame B wakishirikiana na Mrembo by Nature na wengine mtakaona wanafaa waratibu zoezi zima la kuapishwa uongozi mpya wa muda wa CC haraka iwezekavyo, ili waanze kazi mapema iwezekanavyo!

Slogan ya uongozi huu mpya wa mpito ni "smart and sharp leadership"

Ahsanteni sana wanamapinduzi!

Wenu,

-==-=-=-=- UNDENIABLE.

NAKALA KWA UONGOZI MPYA WA MPITO:
Arabela - mwenyekiti Himidini - m/mwenyekiti Lady doctor - katibu Heaven on earth - n/katibu Nivea - mweka hazina Chimbuvu - kamati mahusiano Queen Kan - uratibu ndoa saudari - mpiga picha na kumbukumbu The secretary - uratibu wageni!

na wajumbe wote!

Nina hasira sana na weye.
 
Last edited by a moderator:
Zidumu fikra za mwenyekiti wetu kipenz Baba v chaguo la wote.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Waoh!!!
Naona tupo wawili hapa..mambo vipi Arabela?

There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)

 
Last edited by a moderator:
Kumekucha wananchi mwenyekiti bado ni yule yule muzee ya kiwalani kwa Ali Mboa! Msicheze na Baba V nyie hamumjui vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Naona kuna mtu ananitolea jicho hapa we acha tu..afu ujue wewe jina lako ni zuri sana...

nitajie huyo mtu anaekutolea macho. Dah umeweka historia kiwatengu kwa kuwa mtu wa kwanza kusifia jina langu thanks
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom