Salaam wanaCC kwa mara nyingine!
Baada ya uongozi wa
Baba V kupinduliwa rasmi chini ya mwanamapinduzi mahiri
Nivea, kwa heshima na taadhima tunamwomba
Madame B wakishirikiana na
Mrembo by Nature na wengine mtakaona wanafaa waratibu zoezi zima la kuapishwa uongozi mpya wa muda wa CC haraka iwezekavyo, ili waanze kazi mapema iwezekanavyo!
Slogan ya uongozi huu mpya wa mpito ni "smart and sharp leadership"
Ahsanteni sana wanamapinduzi!
Wenu,
-==-=-=-=-
UNDENIABLE.
NAKALA KWA UONGOZI MPYA WA MPITO:
Arabela - mwenyekiti
Himidini - m/mwenyekiti
Lady doctor - katibu
Heaven on earth - n/katibu
Nivea - mweka hazina
Chimbuvu - kamati mahusiano
Queen Kan - uratibu ndoa
saudari - mpiga picha na kumbukumbu
The secretary - uratibu wageni!
na wajumbe wote!