Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hujajibu swali langu.Nimekuuliza fedha hizo mmezipeleka wapi?Zimetumika sawa na maelekezo ya umoja wa Ulaya ya kupambana na Corona?CCM mnafanya ufisadi wa kimataifa pamoja na wizi,yaani ufisadi across borders halafu mnajinasibu kuwa ni serekali inayopambana na ufisadi?!Wachukue kwani bilioni 70 kitu gani?
Nilizani utasema tirioni kadhaa kumbe ni billioni?
Mbona wlikataa kutupa hiyo pesa kipindi caha corona na hatukufa kama walivyotaka?
Mabeberu yakiamua mbuzi jike hana namna lazima atazaa tu.Mabeberu katika kiwango bora hapa.
Nimetuma ujumbe wako wa vitisho kuongeza ushahidi kwa wahusika.
Kamanda uchwara.karanga ni biashara halali mataga.
lini China iliweza kutoa misaada ya kibajeti popote hapa duniani ???Wazungu wanatulegeza kwa kutumia misaada. Marekani na Ulaya wanategemea mataifa mengine ku survive, wakiisusia Tanzania wanaacha nafasi kwa China na uturuki kunufaika, sio wajinga wa hivyo, wataleta tu hata kama sio kama EU lakini watakuja kama Ujerumani, Ubelgiji, ufaransa, uholanzi, uingereza, sweden, nk.
Mafanikio huja na gharama zake....wenye akili tunafahamu ukipiga hatua moja kwenda ya pili vikwazo ni lazima....watoto wa juzi hamjuhi kuwa hata Vita Vya Kagera kuna gharama zake bado tunalipa hadi leo! Kuiondoa nchi yetu kutoka shamba la bibi hadi kufikia raslimali zetu kutunufaisha sisi wenyewe sio jambo la kufurahisha kila mtu.
Nyumbu wa Mbowe endeleeni kukesha mkiomba ili Lissu apewe urais wa BURE na EU!
Nikuwekee wewe kama nani hutaki unaondoka simple.
Kwamba ICC inadeal na viongozi mafisadi? Kwahiyo aisisi ndiyo solusheni ya ufukara? Siasa za Africa hata awepo nani wote ni wachumia tumbo...........hakuna atakayekuja kukuokoa na ufukara hata atokee chama gani,chamsingi ni kupambana tu.........hata hao mnaosema bunge lao linadiscuss wapo kwaajili ya maslahi ya nchi zao......na hawana hata muda wa kutuwazia positiveHizi ndio akili za kipumbavu..!
Mizozo yote hii inayotokea ya viongozi kufisadi nchi zao na kuacha raia wakiishi katkika ufukara wa kutupwa, unyanyasaji na mauaji kwa wapinzani wa serikali dhalimu na watetezi wa haki za binadamu, magonjwa etc halafu unataka hao 'watasha' waidiscuss africa in a good way?
Utakuwa mgonjwa wewe.!
Hilo haliwezekani, lazima upige uchumi ili wananchi waijie juu serikali.Ila mkuu wakipiga pini hakuna rangi tutaacha kuona sisi wananchi, ni vyema wakiweza wangedili na hali hii bila kuumiza uchumi wa nchi. Tutaumia sisi huku walengwa wanakula maisha
Unaweza ukajikuta kila siku asubui kabla hujapiga breakfast unakagua mitandao yote kama Tanzania imewekewa vikwazo. Bonge la kibarua.Dona kantri mwaka huu wanalo haswaaaa
Lazima sana. Kwa mliyoyafanya kwenye uchaguzi na ujinga mnaoendelea kuufanya lazima tuwaombee mabaya tuUnaweza ukajikuta kila siku asubui kabla hujapiga breakfast unakagua mitandao yote kama Tanzania imewekewa vikwazo. Bonge la kibarua.
The enemy of your enemy is your friendWatanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...