Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hujajibu swali langu.Nimekuuliza fedha hizo mmezipeleka wapi?Zimetumika sawa na maelekezo ya umoja wa Ulaya ya kupambana na Corona?CCM mnafanya ufisadi wa kimataifa pamoja na wizi,yaani ufisadi across borders halafu mnajinasibu kuwa ni serekali inayopambana na ufisadi?!Wachukue kwani bilioni 70 kitu gani?
Nilizani utasema tirioni kadhaa kumbe ni billioni?
Mbona wlikataa kutupa hiyo pesa kipindi caha corona na hatukufa kama walivyotaka?