Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Hauna link, ni hivyo tu vinginevyo ungeweka hapa, ...
“The elections in Tanzania was a travesty of Justice. It was Lukashenko style type of an election. Can we still trust The Tanzania govt with aid? - Gahler Michael, @Europarl_EN.
 
Na tunawatia ndimu ili waelezee mbinu zao zote humu. Tena kwa maandishi. Wanadhani tunatania
 
Kwa hiyo mnapenda kusaidiwa sana sio? Kama unawaabudu hao wazungu, hujui chochote wewe tulia tu, usipende kurukia vimaneneo vya watu.

Ulienda kuzitafuta zilipo ukazikosa? Au kusikia hao wamesema basi umekuja kasi ukidhani wana ukweli wowote.

Wakitaka taarifa ya pesa watapewa, wasiporidhika watakujulisha, na wakiziomba watarudishiwa hivi usiwe na wasiwasi.
 
Kama ungekuwa uchaguzi huru na wa haki kusingekuwa na haya tunayojadili sasa.
Siku zote anaeshindwa huwahaachi kulalamika! Trump mwenyewe nae kashindwa, anadai Uchaguzi haukua huru na haki!! Kwa hiyo hayo ni malalamiko ya kawaida tu kwa wanofeli!!
 
Nani anapenda kusaidiwa??? Wewe unaepeleka bakuli au sisi ???
 
Pesa za COVID zilitolewa bila kufuata taratibu za WHO
Chairman McAllister
@Europarl_EN has called on the European Union and its partners in Tanzania @EUinTZ @UKinTanzania @GermanyTanzania
@SwedeninTZ to ensure that they protect human rights defenders who are committed to fight for justice for other Tanzanians.



No budget support until @EU_Commission sees a fundamental improvement in the political dialogue!


Kwa wale wanaofuatilia. Huu ndio Mkataba kati ya Tanzania na EU kuhusu misaada.Ulisainiwa na aliyekuwa Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum June 2014. Jumla ya Msaada ni Euro Milioni 626 (1.6T Sh). Unaisha Juni 2020 na EU ‘wamesema’ hawatoi tena mpaka waone demokrasia inarudi nchini. HAWATAENDELEA TENA KUTOA MPAKA WAONE DEMOCRASIA IMESIMAMA NCHINI.


 
WAO WAPO ULAYA MNAPANDIKIZWA CHUKI NYIE VIHEREHERE vita ikija mtataabika nyie mtasaga meno na kujutia ujinga wenu
Mtu anakosa hela mfukoni anajikita kushabikia wazungu watunyanyase ,kumbe history ni somo zuri Sana japo skuzama ndani Sana kulichimba,ila nakumbuka incidence moja hivi yakwamba wakati mababu zetu wanaresist kutawaliwa na wazungu kuna mababu utopolo waliungana na mabeberu kututesa.
Sasa as a scientist,ile blood linage imeanza kutake place tena in neo-colonialism erra.
 
Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
Ila kushabikia unajisi wa sanduku la kura na mauaji ya raia wasio na hatia ni sawa ?
 
Mafanikio gani??? Ya kupora watu ushindi wao na kuwabambikia makesi??
Haki inapatikana mahakamani...Trump mwenyewe kashitaki kwasababu ana ushahidi, kama kura ziliibiwa nendeni mahakamani!
 
S
Chekelea kwa kuwa watapunguza misaada ili 2025 mpate nafasi ya kushinda.
Lazima nichekelee, kwa sababu najua lazima mtapata akili ya kujua nini maana ya demokrasia. Na mwisho hao wakubwa wenu wakifungwa jela lazima mjifunze kuwa kuna haki lazima ziheshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…