M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Haina shida mkuu wa kaya anasema serikali ina hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kamanda uchwara alikuwa bado hajazaliwa.Hii mijadala ipo toka nyerere anatishiwa asianzishe vita na idd amini, nothing new!
Kanada ni kati ya nchi ambazo hazimpendi JPM na ndiyo maana zilishabikia tototundu. Tototundu aliwaaminisha kuwa anachukua nchi na madini anawapa bwelele. Makao makuu ya Barrick yapo wapi? Wenye Barrick ni akina nani. Je, kwanini Balozi wa Marekani alikuwa analalama? Alitumwa na akina Barrick. Unadhani Barrick wanafurahi kutoa Billion 100. Thubutu.Kwani canada iko kwenye muungano wa EU, au mwenztu hujui nini maana ya EU?
Wazitaifishe kama wanaweza waone kama lililomtokea Gadafi halishindikani Tanzaniahizo fedha zitapita bank gani ili kufikia vyama vya siasa? labda zipitie banki ya nchi jirani
Tumuunge mkono anayetetea tuache kuibiwa madini yetuHaya Baba ... sawaaaa !!!
Hivi mtu mwenye kufikili anaweza Sema kutumia hela zetu wenyewe kwenye uchaguzi kumeimarisha umoja wetu ama kumeteketeza umoja wetu?! Haiwezekani unyonge mamlaka ya wananchi eti tu kwasabb hukupewa msaada..wa uchaguzi!!Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
hIKI NI NINI?umesitishwa hadi mwafaka wa kisiasa ufikiwe.
Alitishwa na nani??Huyo kamanda uchwara alikuwa bado hajazaliwa.
Mpuuzi alieomba misaada isitishwe ndio unamuona was maana. Kweli wewe ni Ken**Shida ya afrika hatuna mfumo bora wa kuwapata viongozi bora yeyeto tu hata kichaaa au aliyekosa malezi Bora utotoni anaokotwa tu na kupewa hivyo upelekea mamilioni ya waafrika kuumia sababu ya mtu mmoja tu.
Endeleeni kuishi kwa mazoea. Linalokuja ni ICC sasa. Lazima muite Maji mmaaaaHuyo kamanda uchwara alikuwa bado hajazaliwa.
Watakaoisoma namba ni wananchi hao wanasiasa wataendelea kutamba mitaani na mavieteWaondoe tu misaada, tuisome number wote sio wacha he wanaokula mema ya nchi.
Hiyo €27mln ni fidia ya ukoloni walioufanya + ushenzi wa utumwa, na nyingine nyingi tu tunawadai. Shenzi kabisa.Yaani umoja wa Ulaya wanasema kuwa waliwapa Tanzania euro million 27 za COVID-19 halafu unaita ni vimaneno vya watu?Kuna official source inayohusu fedha hizo inayoweza kuzidi kauli yao wao wenyewe?Kichwani una ubongo au funza?
yes karanga mbichi.Mchambuzi wa karanga.
Siyo ICC tena?Nimemsikia yule mwenyekiti wao akisema kwa ukali na kwa jazba "Violation of human rights in Tanzania is at downward spiral"!.....Msumari wa mwisho kwa Tanzania nafikiri ni Joe Biden.Biden huwa hana mchezo mchezo na mambo ya udikteta uchwara.