Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Mabeberu Oyeee!!!
Wazee wa Mavi 8 tumbo joto
Kumbe mnapata pesa nyingi kwa mabeberu Ndio maana mlikua na kiburi.....
 
Kwani canada iko kwenye muungano wa EU, au mwenztu hujui nini maana ya EU?
Kanada ni kati ya nchi ambazo hazimpendi JPM na ndiyo maana zilishabikia tototundu. Tototundu aliwaaminisha kuwa anachukua nchi na madini anawapa bwelele. Makao makuu ya Barrick yapo wapi? Wenye Barrick ni akina nani. Je, kwanini Balozi wa Marekani alikuwa analalama? Alitumwa na akina Barrick. Unadhani Barrick wanafurahi kutoa Billion 100. Thubutu.

Wajinga ndiyo wanaompinga JPM
 
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
Hivi mtu mwenye kufikili anaweza Sema kutumia hela zetu wenyewe kwenye uchaguzi kumeimarisha umoja wetu ama kumeteketeza umoja wetu?! Haiwezekani unyonge mamlaka ya wananchi eti tu kwasabb hukupewa msaada..wa uchaguzi!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Shida ya afrika hatuna mfumo bora wa kuwapata viongozi bora yeyeto tu hata kichaaa au aliyekosa malezi Bora utotoni anaokotwa tu na kupewa hivyo upelekea mamilioni ya waafrika kuumia sababu ya mtu mmoja tu.
Mpuuzi alieomba misaada isitishwe ndio unamuona was maana. Kweli wewe ni Ken**
 
Jamaa kichwa chake kimeumbwa kama biringanya,yani macho yako katikati ya kichwa,binadamu wa ajabu huyu
IMG_20201114_193805.jpeg
 
Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi? Moja ya masharti ya kupewa pesa hizo ni pamoja na kutoa statics za ugonjwa na kufata maelekezo ya WHO ambapo Tanzania hawafati. Ila swali pia kwa serikali yetu kwa nini wanachukua pesa za mabeberu wanaowapiga vita? Au ndio ule msemo usemao ''Baniani mbaya kiatu chake kizuru'' Basi tutakuwa wanafiki. Na kwa nini hata sisi watanzania hatujatangaziwa kama misaada imetolewa na mabeberu? Zaidi ya serikali kutupa wananchi tu picha ya kwamba tuendelee kuwachukia mabeberu.

Angalia hapa chini VIDEO Rais wa Bunge la EU anavyolaani utawala wa awamu ya tano ikiwa ni pamoja na kuwakandamiza watetea haki, wapinzani na kutolinda demokrasia. Hivyo amesema Umoja wa Ulaya utabadilisha siasa yake kuhusu Tanzania ili isipewe misaada moja kwa moja kwa serikali.

 
Yaani umoja wa Ulaya wanasema kuwa waliwapa Tanzania euro million 27 za COVID-19 halafu unaita ni vimaneno vya watu?Kuna official source inayohusu fedha hizo inayoweza kuzidi kauli yao wao wenyewe?Kichwani una ubongo au funza?
Hiyo €27mln ni fidia ya ukoloni walioufanya + ushenzi wa utumwa, na nyingine nyingi tu tunawadai. Shenzi kabisa.
 
Nimemsikia yule mwenyekiti wao akisema kwa ukali na kwa jazba "Violation of human rights in Tanzania is at downward spiral"!.....Msumari wa mwisho kwa Tanzania nafikiri ni Joe Biden.Biden huwa hana mchezo mchezo na mambo ya udikteta uchwara.
Siyo ICC tena?
 
Back
Top Bottom