Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Tumain la wanachadema sasa hivi ni kwa wazungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado hadi 2025 akili zitawakaa sawa
Jiandae na ICC ndugu yangu. This shit is real. Shauri yako
 
Mburura ambao huwa wanarukaruka kwenye nyuzi za watu kama swala kama wewe huwa nawaweka tu kwenye ignore list ili kukwepa usumbufu usiyo kuwa na logic
Usiwe kajinga kiasi hiki,

Kwa sasa hivi hamna la kufanya zaidi ya kubweka ili wazungu wasikie mayowe yenu.

Na bado hadi akili ziwakae sawa wajinga nyie.
 
Kwani haya maswali anaulizwa Tanzania au wanaulizana wenywe kwa wenywe? wao wenywe ndio waandae hayo majibu kwa maboss wao.

Chakushangaza huyo bwana wa EU anajifanya hajuwi kama Covid imeathiri kampuni yao ya EU yanayofanya biashara hapa Tanzania, utali, ukulima, utoaji wa huduma hata ujenzi. Uchumi wetu wa ndani Tanzania haukufungwa, kila mtu anaishi kama iliyokuwa anaishi wakati hakuna Corona.
 
Wewe ni jinga kweli toka lini mzungu akakupa msaada bila kuwa na interests zake.
Hizi elimu za kuunga unga zitakuja kuligharimu Sana taifa letu.
Kwahiyo wewe unaposikia tanzania imepata msaada akilini mwako unaelewa kuwa ni kama msaada wa chumvi unaopewa na jirani yako
Kwako mlivoenda kuomba hela za covid zilikuwa na interest gani huku mkisema hakuna covid?
 
Yani hela za Lissu zipitie kwenye Haki za binadamu??? Mna akili nyie kweli??
Hujui chochote ndio maana mu asmterdam aliwaaminisha anashinda mkawa mnashngilia.
Wewe ni kidagaa tu hapo chadema ila kina mbowe wanajua hela zilikuwa zinatoka wapi na zinaenda wapi.
 
Kwamba ICC inadeal na viongozi mafisadi?
Madikteta wengi ni zao la mafisadi, udikteta na ufisadi havitenganishwi.
tumbo...........hakuna atakayekuja kukuokoa na ufukara hata atokee chama gani,chamsingi ni kupambana tu........
Hakuna anayebisha ila ujue tu ufukara na mateso yakizidi kifuatacho ni uasi dhidi ya serikali..whom to blame?
 
Usiwe kajinga kiasi hiki,

Kwa sasa hivi hamna la kufanya zaidi ya kubweka ili wazungu wasikie mayowe yenu.

Na bado hadi akili ziwakae sawa wajinga nyie.
Sie nyie akili ndo zitawakaa sawa??? Maana yajayo kutoka ICC hadi mtatamani dunia ipasuke
 
Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
CCM nao watanyooka? Au Upinzani pekee yake?
 
Jiandae na ICC ndugu yangu. This shit is real. Shauri yako
Nlikuonya kwamba baada ya oktoba 28 kiswahili kingebadirika unaona sasa? Na kama hukujiandaa kisaikolojia hili utaenda nalo hadi 2025
 
Hujui chochote ndio maana mu asmterdam aliwaaminisha anashinda mkawa mnashngilia.
Wewe ni kidagaa tu hapo chadema ila kina mbowe wanajua hela zilikuwa zinatoka wapi na zinaenda wapi.
Endelea tu kukifurahisha. Nakwambiaje jiandae kuona majina ya viongozi wenu takotolew na ICC kuwa wanachunguzwa
 
Natamani ifike mahali hata wale wa ndio nao wakose posho na mishahara, kama ni kibano tupate wote
 
Kuna wengine ni mambumbumbu sana wa masula ya fedha za wahisani

Kuhoji matumizi ya fedha hizo ni jambo la kawaida sana na watapewa majibu sahihi na maisha yataendelea

Wao walitaka tufunge Nchi kama walivyofunga wao nchi zao halafu tufungue kama walivyofungua wao
 
Sie nyie akili ndo zitawakaa sawa??? Maana yajayo kutoka ICC hadi mtatamani dunia ipasuke
ICC ndio mdudu gani huyo?

[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo hii ni nchi, tena nchi huru yenye watu zaidi ya milioni 60.
Siyo kampuni hii, ni nchi.
 
Wewe jamaa bado una mawenge ya kupigwa kwenye box la kura!

Hakuna lolote litatokea na nliwaambia mtakomaa na mada kama hizi weee kisha ikifika tarehe 1/10/2025 ndio mnaanza kuulizia tume huru.

2025 magufuli ndo anampigia anaefuata kampeni kama kikwete alivompigia magu! sasa 2025 ebu rikisha vizuri kwanza 2035 kuanzia uko tunaweza kuja kidogo kujadili watakua wanasemaje
 
Back
Top Bottom