Raha ya nini sasa?Leo kwetu rahaaaaa [emoji126][emoji126][emoji126]
Sioni hali mbaya katika maelezo yako hayo. Every penny channelled into the country will be drastically monitored, whether you like or not.3. Wamehoji hadi Kwa nini walitoa hela za ku support harakati za covid na wamembana afisa wao kuwa walitumia vigezo gani kutoa hela hizo wakati TanZania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa wako covid free
4. Wamemuamuru afisa wao anayejishughulisha na Tanzania kutoa maelezo ya uhakika juu na kwa nini walitoa hela kwa Tanzania na kwa nini hawajafuatilia hizo hela zimetumika kwenye nini?????
Bomba sana, sasa bado watakwambia tungeendelea kuwa chini ya mkoloni eti tupate maendeleo?! Aise tuna vichwa vya ajabu Tz?!Amani iwe kwako @Lord denning!!
Bunge la EU wamepanick na kuamua kukutumia muda wao kuijadili Tanzanian jinsi ilivyoshtuka kuhusu uharamia wao wa vibaraka wao😁😁😁
Wewe nenda kawaambie hivi;
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
- Waambie Tanzania haina hali mbaya kuliko DRC, Libya, Somalia.... waambie waijadili vizuri sana Tanzania na wajiulize kwanini rais John Pombe Magufuli alishauri Africa wapewe debt relief badala ya ile mikopo ya walimwengu. Waambie pia tunajua wanatishia kuondoa wanachokiita misaada kwa sababu haikua misaada ila ilikua kishawishi cha kutufanya kuendelea kuwa watumwa wao
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
- Waambie wajiangalie kwanza wao na vibaraka wao kwa jicho makini zaidi. Kuhusu kufuatilia hali ya kukandamizwa kwa haki za binadamu waanze na wale vibaraka wao waliokua wanawaahidi vijana vyeo, waliokua wakiwapa pombe na pesa ili wapigane na askari na kuchoma moto mali za watu kwa kisingizio cha haki na demokrasia. Waambie pia waishauri Belgium kuanza kuwalipa Congo fidia kwa mauaji na mateso ya waafrika yaliyofanywa na mfalme wao King Leopold II. Wasifikiri tumewasahau fisi ni fisi hawezi kuwa kondoo hata siku moja
3. Wamehoji hadi Kwa nini walitoa hela za ku support harakati za covid na wamembana afisa wao kuwa walitumia vigezo gani kutoa hela hizo wakati TanZania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa wako covid free
- Waambie mpango wao wa kututesa na kutuua kwa njaa, kukosa huduma na stress kwa kisingizio cha COVID ulifeli sababu tuna serikali makini. Waeleze kwamba pamoja na kuwanyima VISA kutoka nje ya EU na nchi nyingi chache za America na Asia tunajua kabisa kwamba wana mpango wa kuwanyima raia wao haki kwa kuwawekea masharti magumu kuhusu kuja na kuwekeza Tanzania.
4. Wamemuamuru afisa wao anayejishughulisha na Tanzania kutoa maelezo ya uhakika juu na kwa nini walitoa hela kwa Tanzania na kwa nini hawajafuatilia hizo hela zimetumika kwenye nini?????
- Waambie walitakiwa kufanya hayo kabla pesa haijatoka kwani sisi tunasema kiendacho kwa mganga hakirudi!
5. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa serikali.
- Washauri watoe misaada kwa vyama vya Siasa kupitia account Amstadam na Tundu hukohuko ulaya ila wajue tuu kwa Tanzania ya sasa hiyo pesa pesa sio ushindi. Hata wafanyaje tumeshawashtukia na hawawezi toboa hapa tanzani
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje 😂😂😂😂
- Ukipata updates tuletee
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu
- Subiri hapohapo utawaona wakijiandaa🤣🤣🤣
Hao ni mbwa mwitu waliovaa ngozi za kondoo kamwe hatuwezi wasahau kwa ukatili wao juu ya mtu matusi
View attachment 1630042
Hujui kuwa EU ndo funder wa ICC na Kamisheni ya UN ya haki za binadamu. Mbaya zaidi hao wote wametoa tamko dhidi ya ufedhuli wenu mliofanya mwaka huu. Sasa jiandaeni tu
Mkuu wewe utaendelea kubweka tu humu huku ccm na jpm wakiendelea kujenga nchi.Hujui kuwa EU ndo funder wa ICC na Kamisheni ya UN ya haki za binadamu. Mbaya zaidi hao wote wametoa tamko dhidi ya ufedhuli wenu mliofanya mwaka huu. Sasa jiandaeni tu
Hahahaaaa........!Alafu usikute wale waliochangia ni wapinzani[emoji23][emoji23]
Ile ya kupimia mapapai?Kuna Maabara ya COVID Mabibo iko full nondo kila kitu, hivyo sidhani kama ni ngumu kwa Serikali kuelezea jinsi ilivyotumia fedha kama ni kweli ilipokea msaada kwaajili ya kudili na COVID, ...
Waeleze mkuu.Kuna Maabara ya COVID Mabibo iko full nondo kila kitu, hivyo sidhani kama ni ngumu kwa Serikali kuelezea jinsi ilivyotumia fedha kama ni kweli ilipokea msaada kwaajili ya kudili na COVID, ...
Hujui kuwa EU ndo funder wa ICC na Kamisheni ya UN ya haki za binadamu. Mbaya zaidi hao wote wametoa tamko dhidi ya ufedhuli wenu mliofanya mwaka huu. Sasa jiandaeni tu
Tunaweza ishi bila misaadaMpuuzi alieomba misaada isitishwe ndio unamuona was maana. Kweli wewe ni Ken**
Usijiamini kwa kiwango Hilo ilihali Mambo yamekuwa Mambo! Ungetulia kwanza ili ushauri njia mbadala za namna ya kuziba hayo mapengo yaliyokuwa yanachangiwa na wahisani badala ya kubweka kipuuzi! Na kwa hakika washauri na au mashabiki wa aina yako mlitakiwa muwekwe rumande kwa makosa ya kushabikia upuuzi wa uchaguzi!Usiwe kajinga kiasi hiki,
Kwa sasa hivi hamna la kufanya zaidi ya kubweka ili wazungu wasikie mayowe yenu.
Na bado hadi akili ziwakae sawa wajinga nyie.
Mchambuzi wa njugu.mataga.
Ukikua utaacha.Icc pia hakuna cha Jiwe wala nini
Usijiamini kwa kiwango Hilo ilihali Mambo yamekuwa Mambo! Ungetulia kwanza ili ushauri njia mbadala za namna ya kuziba hayo mapengo yaliyokuwa yanachangiwa na wahisani badala ya kubweka kipuuzi! Na kwa hakika washauri na au mashabiki wa aina yako mlitakiwa muwekwe rumande kwa makosa ya kushabikia upuuzi wa uchaguzi!
Hahahahaha!! Tena amwambie kabisa kuwa yeye ni mfungwa mtarajiwa wa ICC
Mmepeleka wapi pesa za mabeberu?Kuna wengine ni mambumbumbu sana wa masula ya fedha za wahisani
Kuhoji matumizi ya fedha hizo ni jambo la kawaida sana na watapewa majibu sahihi na maisha yataendelea
Wao walitaka tufunge Nchi kama walivyofunga wao nchi zao halafu tufungue kama walivyofungua wao