mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Biden kama nani?Nimemsikia yule mwenyekiti wao akisema "Violation of human rights in Tanzania is at downward spiral"!.....Msumari wa mwisho kwa Tanzania nafikiri ni Joe Biden.Biden huwa hana mchezo mchezo na mambo ya udikteta mchwara.
Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako, ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo, vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...Ngoma inogile!
Bado US kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nao wakasitisha kutoa mikopo.
Watanyooka tu.
Kweli kari giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Hatutapona marekani last time ulipofutwa uchaguzi Zanzibar walionda msaada kwenye REA,sijui sahivi watafuta lipiNgoma inogile!
Bado US kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nao wakasitisha kutoa mikopo.
Watanyooka tu.
Kweli kari giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Endelea kujimwambafai nyuma ya keyboard? If their real men let them stand on the nails. Endeleen kuzungusha mikono hadi mwisho wa dahaliKwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Safi wasupport vyama vyenye Nia ya democrasia. Ndio maana tunasisitiza hivyo viti maalumu 19 wavitenge wakiweza hata wavile kama vinalika.Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!
Hakuna COVID ila kuna athari zilizotokana na COVID mfano kushuka kwa mapato kutokana na zuio la usafiri wa anga kwa wataliiKumbe serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa watu wanajifanya wasiri sana. Ukisikiliza ule mjadala utagundua kuwa kumbe ni mabingwa wa kutembeza bakuli kwa wazungu wanaowaita mabeberu [emoji23][emoji23][emoji3]
Mchawi namba moja ni BashiruKwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Hoja yao sio corona. Hoja yao ni inakuwaje watoe hela za msaada wa corona kwa nchi ambayo imesema haina corona na hawatoi takwimu zozote juu ya corona??? Hizo hela zinatumika kwenye nini??Kwa hiyo wanataka tuwe na Corona?
Mbaya zaidi walikamatwa na kuwekwa ndani walioenda kuripoti polisi juu ya kukamata watu na Kura feki πππMpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
SEMA WEWE WALICHOSEMAKwa nini usiseme ukweli uliosemwa, kwa nini unaeleza uongo kujifurahisha. Inaonekana hujui siasa za bunge la Ulaya. Kwa taarifa yako hakuna lolote litakalobadilika on the ground.
Endelea kujipa moyoπππKwa nini usiseme ukweli uliosemwa, kwa nini unaeleza uongo kujifurahisha. Inaonekana hujui siasa za bunge la Ulaya. Kwa taarifa yako hakuna lolote litakalobadilika on the ground.
Itakuwa TBC mkuuumeangalia kupitia chaneli gani mkuu?
Wewe endelea kujibu tu kihunihuni, Posho zinaelekea kufyekelewa mbali.. kama kuna kamradi huko rombo jishikize usije ukaua familia !Biden kama nani?
Trump anamkimbiza huko!