Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Mbarikiwe sana ndugu zetu wapendwa Wazungu. Mwaaaa!
Nani kama ninyi? Hakunaga!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanafikiri hili litawatoa kimasomaso,

Hili gari limeshaondoka hadi 2025.
... lakini ndio hivyo mtafika 2025 kwa dabo hazard ... kama mbwai na iwe mbwai tu mlitegemea mterezo dadeki na bado ...

Huu ndio kwanzaaa mwezi wa kwanza baada ya uchaguzi hatujafika wa sita bado
 
Wanajijua wemyewe mchezo waliokuwa wanataka kuufanya , sheria kali zingefuatwa sasa hivi wangekuwa wameshapata kisingizio cha kuleta vurugu. Mbona hakuna hata mtu mmoja aliyeandamana kudai haki yake.
 
Imagine Magufuli anatumia mdomo kutangaza kuwa tumeishinda COVID-19 kwa kutumia maombi ya siku tatu na hakuna hata haja ya kuvaa barakoa huku akitumia mkono wake wa kulia kusisitizia anachoongea na wakati huo huo anatumia mkono wake wa kushoto kuchukua hela za EU za kupambana na corona ambayo ameshadai kuwa haipo.Haya ndiyo maajabu ya Magufuli.Tulipokuwa tunasema kuwa nchi hii ina kiongozi goigoi hatukuwa tunatania!
 
Bomba sana, sasa bado watakwambia tungeendelea kuwa chini ya mkoloni eti tupate maendeleo?! Aise tuna vichwa vya ajabu Tz?!
Wakatishe tuu huo ushirikiano wao, tuashikana na marafiki zetu wa kihistoria walewale tumefungia bank yao. Na vile wanawaogopa sasa😁😁😁😁
 
Sas Sasa kumbe ni hivyo tu, walale mbele hatutaki misaada yao. Huu ni wakati wa kupiga kazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanafikiri hili litawatoa kimasomaso,

Hili gari limeshaondoka hadi 2025.
Hoja za yule mjumbe wa sijui bunge la EU [emoji1099] kwa kweli nzito.... 1.anataka kujua fedha zimetolewa kwa kigezo gani ikiwa dunia ilijulishwa kwamba sisi ni Corona free, tulikataa kutoa takwimu za Corona, na tulikataa kutumia WHO Corona guidelines... Yaani mzungu Kakomaaa huyooo....
 
Taifa teule? Unajua maana ya Taifa teule?
Tatizo mnachanganya mambo ya kiimani na mambo ya utendaji.
Labda huenda kuna pesa tunategemea kujenga barabara 80 km kwa msaada wa mabeberu.
Mkuu hili siyo jukwaa la dini na hamna sehemu nimehusisha dini Mimi labda Kama kiswahili kwako ndo tatizo.
 
Inabidi kwanza tuache ulafi wa hela zao ndio wataacha kutufuatilia, kwani situliambiwa na kiongozi wako sisi ni dona kantrii..??
 
Utawala unafitinika automatically!
 
Msiseme mliishinda korona ilihali imeua watu muhimu kuliko hata majirani zetu wa EAC. Anayetufuatia kwa mbali ni Burundi!
Kuishinda haimaanishi kwamba hakuna walioathirika.

Hata familia ya Freeman Mbowe iliishinda Covid 19!
 
Serekali ya Magufuli ilipochukua hizo hela za EU walitii masharti pamoja na vigezo vya european union pamoja na WHO vya kuchukua na kutumia hizo hela kama vile kutoa ripoti kwa umma kila siku ya idadi ya watu waliopimwa,idadi ya watu waliokutwa na corona na idadi ya watu ambao hawakukutwa na corona kama vile rais wa EU alivyobainisha vigezo hivyo leo?
 
Se Sema wewe ndio una hali mbaya sababu hufanyi kazi wala hutafuti lkn wanaotafuta wanatanua mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…