Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Aendelee kukomaa hadi awe mwekundu lakini kiendacho kwa mganga hakirudi!
 
Mjomba tutajitegemea vipi bila ya kuwa na ushirikiano mzuri na Dunia na wenye pesa

Tutauza wapi,mazao yetu,tutauza wapi Almasi na Dhahabu yetunani atakuja kutembelea Tanzania.NK

Utaliii ndio ndio sekta inayongoza kutia pesa nyinyi katika serikali ya Zanzibar, Sasa tukiwekewa vikwazo Sijui Wanzibari watakula wapi

Waafrika chini ya Jangwa la Sahara tumeweka mbele hisia zetu bila kuangalia uhalisia wa jambo husika..

Mmarekani na Mchina kila siku wanagombana vita vya maneno, lakini hawajawekena vikwazo, kwasababu wanategemea a

Tafakari,weka hisia kando angalia uhalisia wa Tanzania kuwa masikini wa kutupwa

Tanzania wakati tumejaaliwa rasilimali za kila aina, Lakini Kwasababu ya kikundi kimoja cha watu waliolewa madaraka!wanaifanya Nchi iwe ya ovyo kabisa

CCM lazima iondoke, Kwa nguvu au Kwa hiyari
 
Sasa madhara ya corona si yanajulikana au?
 
Yule kiongozi kawa mboga hatari... Anazionea uchungu fedha, anasisitiza European people tax payer money.... Yule anakoelekea atasema tuzitapike aisee....katoa Masaa 48 watoe maelezo...
 
Wanaamua kutusaidia kwani yaonekana tumeshindwa kutumia bongo zetu.
 
Kama wagonjwa hawapo hizo takwimu utazitoa wapi?
 
Hali yao ni mbaya zaidi kuliko yetu.....Wahangaike na chumi zao zinazohungulia kaburini...Tanzania itawashangaza tena kama ilivyotokea kwenye corona...
 
Kwa taarifa yako mwizi anaye kimbizwa kimya kimya ujue lengo ni kumuua kabisa.
Hivyo hii hali sio ya kudharau, hawa EU wanataka kutuua kabisa

Muzungu amkimbize kimya kimya nani Dunia hii ? Anamuogopa nani ? Acheni kujidanganya, ...
 
Tulichowafanyia wazungu ni kama mtoto apewe hela ya ada ya shule halafu haleti ripoti ya matokeo (anaficha takwimu), haingii darasani wala kufuata taratibu za shule (WHO) halafu anakuambia mimi nimefaulu, lazima umtwange viboko tu 😀
 
Yule kiongozi kawa mboga hatari... Anazionea uchungu fedha, anasisitiza European people tax payer money.... Yule anakoelekea atasema tuzitapike aisee....katoa Masaa 48 watoe maelezo...
Hasira ya plan zao ku fail...Wameambulia aibu...
 
Tanzania ndie mwanaume pekee mwenye nguvu aliebakia ambae anawaridhisha wote lazima hao magasho wahangaike nae
 
Mjinga ni KAYAFA
Na mataendelea kuwa wajinga tu!

Mnakaa mnadeka deka hapa eti ni yeye,

Haya ni yeye wenu ndio huyo kakimbilia aliko beberu wake na nyie mfuateni huko.
 
Walitii mashariti ya fedha hizo ikiwa ni pamoja na kutoa takwimu kila siku za waliopimwa ni wangapi,waliokutwa na Corona ni wangapi na waliokutwa wazima ni wangapi?

Sijui, ila wanapima na Cheti wanatoa, kuna wageni kibao pamoja na Muzungu, wanapima kila siku, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…