Kama hawateseki wanatujadili kwa lipi?Hivi una akili sawa sawa kweli?
Yani EU wanateseka kwa ajili ya TZ?
Mataga akili zenu mnaziweka kwenye makalio ama
Huo ni mhimili mmoja wa bunge la umoja sio serikali au mabunge binafsi ya nchi individual husika
Mabunge ya nchi individual husika hayajatoa tamko. Ni sawa na sisi bunge la Africa Mashariki litamke ohh marekani iwekeeni vikwazo !!! Who cares Nchi zetu zina mabunge binafsi ya kila nchi maamuzi yao ndio yangekuwa na uzito lakini pia sio kivile sababu ni mhimili mtegemea maamuzi ya serikali husika si kila wanachoshauri lazima serikali husika zitilie maanani
Bunge la ulaya you are hopeless and stupid puppets of Amsterdam go to hell
Naona unasaka Uteuzi kwa njia haramu za kishetani hutakaa upate uteuzi milele kwa kufagilia uchaguzi mkuu haramu uliobakwa kunajisiwa na kulawitiwa na CCM kwa njia haramu za kishetaniBila kupoteza Muda naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja,
Leo nilitenga muda wa kusikiliza kile kilichokuwa kinajadaliwa na Hawa Viumbe wa "EU" (External affairs), Kama tulivyo taarifiwa juzi katika vyombo vya habari vya kwao huko na baadhi ya nyuzi hapa JF.
Ila Nimesikitika Sana kuwa nilichotarajia kukisia kutoka kwao na nilichosikia ni Kama "Vatican na Saud Arabia" (quit different).
In summary; Hiki ndo nilitarajia kukisikia kutoka kwa hawa Nguri wa Hoja duniani;.
1.Uchaguzi wa 28Oct202.
Nilitajia kusikia maswali kama; Kwanini CCM imeishinda kwa asilimia kubwa vile kuliko vyama vingine?
Je baada ya Matokeo Wananchi waliopiga Kura hizo wameridhika na Matokeo Yao au hapana na Kama Ni hapana, Kuna ishara yeyote waliyoionyesha kutokubaliana na walichokichagua( Hapa Wapigiwa kura hawahusiki).
Je baada ya Matokeo wagombea nafasi wa upinzani walioshindwa waliyachukulia je matokeo, Kama Ni ndio sawa na Kama Ni hapana, je Kuna njia zozote za kisheria walizochukua kupinga Matokeo hayo ili kupata haki Yao(ukiondoa ya Matokeo ya urais).
2. Ukandamizwaji wa haki za binadam na Ugaidi;
Nilitarajia kusikia hoja Kama hizi kutoka kwao;
Kwanini msumbuji imeshindwa kuwathibiti Wana mgambo walioweka makazi kwenye nchi yao mpaka Wanasababisha maafa na kukandamizwa kwa haki za binadam nchi jirani Kama Tanzania(Mtwara Kama walivyotaja wao)?. Na Wala siyo kuilaumu Tanzania kisa inapakana na sehemu ambayo magaidi wapo. Nikweli EU hawajui kuwa Msumbuji ni nchi huru na ina mipaka na jeshi lake ambalo haliwezi ingiliwa na jeshi lolote lile pasipo ruhusa?.
3. COVID19.
Nilitegemea kusikia ni, njia gani ilizotumia Tanzania kuondokana na janga la Corona mpaka kufikia hatua ya watu wake kuendelea na maisha yao Kama kawaida bila vifo Wala athari yeyote?
Na wala siyo kulialia kwanini Tanzania haina Corona na tunaipatia pesa, Mara pesa za Corona zimetumikatumika je, Mara Sijui Nini ,
Hapa kwakweli imeonesha wazi kabisa jinsi gani mataifa ya ulaya yalivyo na wivu mkubwa juu ya Tanzania hasa katika suala hili la Covid19.
My take; Tanzania ni nchi yangu na Nina ipenda Sana na Sina shaka na Kiongozi wangu mkuu Yani "JIWE" juu ya kudili na Mabeberu naamini nachokiwaza mimi kuanzia Sasa na kuendelea ndo anachokiwaza Rais wangu. Hizi hoja za Leo niza kupuuza na kukaa kimya kabisa kana kwamba hakuna kilichotokea maana inaonekana watu wenyewe wamejadili huku mioyo yao ikiwa imejaa chuki binafsi na wivu juu ya Tanzania pamoja na kulialia pasipo kuwa na "deep Intelligences".
Na nilichokugundua Tangu tupate Rais jiwe kwelikweli Tanzania imekuwa femous sana ndani na nje ya Mataifa ya Ulaya. Na wanavyotenga muda wao kutujadili namna hiyo kwetu ni faida kubwa Sanaa maana Kupitia wao ndo wana tangaza na soko letu la utalii na kuwafanya watu wengi zaidi kuja Tanzania kujionea uteule wake.
Mfano; Suala la kututangaza juzi Kati kwenye media zao kuwa "Tanzania ndo nchi pekee dunian ambayo haina maambuzi ya Corona kwa takribani wiki46" na leo walivyosema kwenye mkutano wao kuwa, "tunawapa je Msaada Tanzania angali hawana Corona". Hii itaongeza idadi ya watu wengi Sana wa ulaya waliochoka na lockdown kuja kula maisha kwenye Peace land ya Tanzania huku soko letu la utalii likipanda siku Hadi siku.
#Mungu Mlinde Jiwe, Mungu tulinde Watz wote, Mungu ilinde nchi yangu.
#I love my country [emoji1241].
Ufipa mnatapatapa sana!
Hiyo ndio radi?Tuliwaambia kuna RADI inakuja...
Bwashee mlikuwa mnamshangilia au KUMHUJUMU sasa hizo pesa mtazitapika kwa njia zote mbiliHiyo ni mikwara mbuzi tu bwashee!
Naunga mkono hatua hizi na napendekeza zichukuliwe kali zaidi ya hapa! Ila ni hatua nzuri sana hiiNa mataendelea kuwa wajinga tu!
Mnakaa mnadeka deka hapa eti ni yeye,
Haya ni yeye wenu ndio huyo kakimbilia aliko beberu wake na nyie mfuateni huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Bob Wine ambae chama chake kaanzisha juzi tu hapa amewashinda? Nyie mmbeki kujibebisha tu kwa akina AmsterdamNaunga mkono hatua hizi na napendekeza zichukuliwe kali zaidi ya hapa! Ila ni hatua nzuri sana hii
Hapo kwa dadayako jiandae na wewe kuolewaHiyo ndio radi?
Yani hadi Bob Wine ambae chama chake ni cha juzi tu kawashinda mbinu?
Umesoma nilichoandika?Unajua kusoma kwa uelewa?Masharti ya EU ya kutumia fedha zao ni unatakiwa kupima watu na utoe takwimu hata kama ugonjwa haupo.Maana yake serekali walipaswa kupima watu na kutoa takwimu kwamba hakuna maambukizi.Yaani unapima kwa mfano watu elfu moja kisha unasema kuwa wenye Corona ni sifuri.Tanzania ilifanya haya?Halafu umejua vipi kuwa Corona hamna bila ya kufanya vipimo?Unaelewa kuwa njia pekee na official na inayotambuliwa na EU pamoja na WHO ya kujua kama Corona ipo au laa ni kwa kufanya vipimo?Kama wagonjwa hawapo hizo takwimu utazitoa wapi?
Ni frustrations ndizo zinazoji express...Hawakutegemea kama plan zao zitakuwa za kichekesho hivyo...Wameshindwa kuivuruga nchi na kulazimisha walichokitamani...Wamekosa base kwa waliyoyapanga sasa wanakuja na plan B...Kwani Tanzania iliomba msaada? Walituletea wao wenyewe na hata kama tuliomba they were supposed kukataa...Kisha is it a crime kuishinda corona? Wai hawaoni kuwa corona impact yake siyo kama wanavyotaka iwe?Bila kupoteza Muda naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja,
Leo nilitenga muda wa kusikiliza kile kilichokuwa kinajadaliwa na Hawa Viumbe wa "EU" (External affairs), Kama tulivyo taarifiwa juzi katika vyombo vya habari vya kwao huko na baadhi ya nyuzi hapa JF.
Ila Nimesikitika Sana kuwa nilichotarajia kukisia kutoka kwao na nilichosikia ni Kama "Vatican na Saud Arabia" (quit different).
In summary; Hiki ndo nilitarajia kukisikia kutoka kwa hawa Nguri wa Hoja duniani;.
1.Uchaguzi wa 28Oct202.
Nilitajia kusikia maswali kama; Kwanini CCM imeishinda kwa asilimia kubwa vile kuliko vyama vingine?
Je baada ya Matokeo Wananchi waliopiga Kura hizo wameridhika na Matokeo Yao au hapana na Kama Ni hapana, Kuna ishara yeyote waliyoionyesha kutokubaliana na walichokichagua( Hapa Wapigiwa kura hawahusiki).
Je baada ya Matokeo wagombea nafasi wa upinzani walioshindwa waliyachukulia je matokeo, Kama Ni ndio sawa na Kama Ni hapana, je Kuna njia zozote za kisheria walizochukua kupinga Matokeo hayo ili kupata haki Yao(ukiondoa ya Matokeo ya urais).
2. Ukandamizwaji wa haki za binadam na Ugaidi;
Nilitarajia kusikia hoja Kama hizi kutoka kwao;
Kwanini msumbuji imeshindwa kuwathibiti Wana mgambo walioweka makazi kwenye nchi yao mpaka Wanasababisha maafa na kukandamizwa kwa haki za binadam nchi jirani Kama Tanzania(Mtwara Kama walivyotaja wao)?. Na Wala siyo kuilaumu Tanzania kisa inapakana na sehemu ambayo magaidi wapo. Nikweli EU hawajui kuwa Msumbuji ni nchi huru na ina mipaka na jeshi lake ambalo haliwezi ingiliwa na jeshi lolote lile pasipo ruhusa?.
3. COVID19.
Nilitegemea kusikia ni, njia gani ilizotumia Tanzania kuondokana na janga la Corona mpaka kufikia hatua ya watu wake kuendelea na maisha yao Kama kawaida bila vifo Wala athari yeyote?
Na wala siyo kulialia kwanini Tanzania haina Corona na tunaipatia pesa, Mara pesa za Corona zimetumikatumika je, Mara Sijui Nini ,
Hapa kwakweli imeonesha wazi kabisa jinsi gani mataifa ya ulaya yalivyo na wivu mkubwa juu ya Tanzania hasa katika suala hili la Covid19.
My take; Tanzania ni nchi yangu na Nina ipenda Sana na Sina shaka na Kiongozi wangu mkuu Yani "JIWE" juu ya kudili na Mabeberu naamini nachokiwaza mimi kuanzia Sasa na kuendelea ndo anachokiwaza Rais wangu. Hizi hoja za Leo niza kupuuza na kukaa kimya kabisa kana kwamba hakuna kilichotokea maana inaonekana watu wenyewe wamejadili huku mioyo yao ikiwa imejaa chuki binafsi na wivu juu ya Tanzania pamoja na kulialia pasipo kuwa na "deep Intelligences".
Na nilichokugundua Tangu tupate Rais jiwe kwelikweli Tanzania imekuwa femous sana ndani na nje ya Mataifa ya Ulaya. Na wanavyotenga muda wao kutujadili namna hiyo kwetu ni faida kubwa Sanaa maana Kupitia wao ndo wana tangaza na soko letu la utalii na kuwafanya watu wengi zaidi kuja Tanzania kujionea uteule wake.
Mfano; Suala la kututangaza juzi Kati kwenye media zao kuwa "Tanzania ndo nchi pekee dunian ambayo haina maambuzi ya Corona kwa takribani wiki46" na leo walivyosema kwenye mkutano wao kuwa, "tunawapa je Msaada Tanzania angali hawana Corona". Hii itaongeza idadi ya watu wengi Sana wa ulaya waliochoka na lockdown kuja kula maisha kwenye Peace land ya Tanzania huku soko letu la utalii likipanda siku Hadi siku.
#Mungu Mlinde Jiwe, Mungu tulinde Watz wote, Mungu ilinde nchi yangu.
#I love my country [emoji1241].
Sikumpigia kura JPM. Uchaguzi umekwisha, kama ilishindikana kusimama na Tl wakati yupo nchini basi tukafanye kazi kwa ajili ya familia zetu, hakuna ugali wowote wa viongozi utakaomwagika kwa vikwazo, ugali wa JPM na mboga zake utaendelea kuwepo hata vikiwekwa vikwazo. Hata Tl ataendelea kunenepa pamoja na vikwazo tutakavyowekewa.acha tuwe na huo ukurutu tu bora mara 2000. mnaleta mambo ya ujima apa? mmemwaga mboga upinzani mwageni ugali wote kabisa...kama mbwai iwe mbwai tu.
Pesa zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi wapinzani badala ya maendeleo ni vigumu Nchi kupiga hatua kimaendeleo kwa mfumo huu wa hovyo tokea CCMTwende mbele turudi nyuma. Raia tuna hali ngumu sana kiuchumi na kidemokrasia. Mkuu wa nchi hashauriki. Na misaada kila kukicha tunapokea ila hakuna afadhali.
Wewe jamaa boya kweli kwahiyo ww upo congo hicho kibano hakikuusuMmeshapanic bwashee mara hii, si mtulie msubiri kibano!
KwendraaaaaaAmani iwe nanyi tena wadau!!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
3. Wamehoji hadi kwanini walitoa hela za ku support harakati za Covid na wamembana afisa wao kuwa walitumia vigezo gani kutoa hela hizo wakati Tanzania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa wako covid free
4. Wamemuamuru afisa wao anayejishughulisha na Tanzania kutoa maelezo ya uhakika juu na kwa nini walitoa hela kwa Tanzania na kwanini hawajafuatilia hizo hela zimetumika kwenye nini?
5. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu.