.... kumbe Mpango na timu yake walidaka fedha za COVID-19 huku nchi ikiwa haina COVID. Nchi ya matapeli hii!Hoja yao sio corona. Hoja yao ni inakuwaje watoe hela za msaada wa corona kwa nchi ambayo imesema haina corona na hawatoi takwimu zozote juu ya corona??? Hizo hela zinatumika kwenye nini??
Jitihada gani zako mwenyewe??? Za kwenda kutembeza bakuli kwako kuomba msaada???😂😂Hovyo! Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
WALIWALIPA WASANII KUTUMBUIZA KWENYE KAMPENI.Kumbe serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.
Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.
Na hii ndiyo sala ya mwisho ya Meko pia,anamuomba sana mola wake Trump ashinde kule marekani lakini tatizo ni kwamba sala za shetani huwa hazifiki kwa Mungu!Biden kama nani?
Trump anamkimbiza huko!
Sasa mwaka huu ndo utajua ICC inachunguza kesi gani’Mkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....
Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
Yaaani Biden Ndo atakuja kupiga msumali wa mwisho. Hiyo inaitwa Golden goalNa hii ndiyo sala ya mwisho ya Meko pia,anamuomba mola wake Trump ashinde kule marekani lakini tatizo ni kwamba sala za shetani huwa hazifiki kwa Mungu!
Alipewa tafiti za kweli toka kitengo kuwa hata nusu ya asilimia 58 alizopata 2015 hazifiki hivyo kama ana Nia ya kukalia kiti afanye mapema, amri ikatolewa Kwa Mahera ushindi usipungue asilimia 80 shauri ya papara wakasahau takwa la kikatiba kuhusu upinzani. Matokeo- Aibu ya mwaka.Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Huna kiu unaombaje maji ya kunywa?Kwa hiyo wanataka tuwe na Corona?
Lazima niogope tumekula pesa zao €27m tukiwadanganya za korona wakati serikali imesema hatuna korona tutazilipaje.Sasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Sasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Asiyejua ndiyo anahangaika na hizi siredi Mkuu.......siyo rahisi hivyo kama tunavyoshabikia humuSasa mwaka huu ndo utajua ICC inachunguza kesi gani’
Hiyo tunaweza pia kuiita mikwara Bata pia,ni sisi tu kuamua tuiiteje.Hiyo ni mikwara mbuzi tu bwashee!
HahahahahaHuna kiu unaombaje maji ya kunywa?
Nasemaje, mwaka huu ndo mtajua ICC wanasikiliza kesi ganiAsiyejua ndiyo anahangaika na hizi siredi Mkuu.......siyo rahisi hivyo kama tunavyoshabikia humu
Kama isivyo rahisi kwetu kutenda madhambi.Asiyejua ndiyo anahangaika na hizi siredi Mkuu.......siyo rahisi hivyo kama tunavyoshabikia humu