jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
maneno yake kama mbunge wa darasa la saba.Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!