maneno yake kama mbunge wa darasa la saba.Yule mwenyekiti yuko bold vibaya sana. Amenufurahisha pale aliposema tunawezaje kutoa hela za walipa kodi wa ulaya kwa mtu ambae anadidimiza Haki za binadamu!!
Mijitu km nyie sijui kwann mlizaliwa.... Ni hasara kwa wazazi wako Hadi majirani zako.Punguza pressure bwasheee??? Mbona umepanic sana??? Na wewe ni mmoja wao nini??😂😂😂😂
Ushauri wangu kwenu ni huu. Jiandaeni tu , Safari hii wazungu hawawaachi lazima muite Maji mmaaaaa
Huna lolote! Sisi tusiotegemea mabeberu hatuna hata habari tunajua tutadunda tu. Na miradi yetu itaendelea kama kawaida tu.Ningekuwa nategemea cha beberu nisingefurahi kuona mbinyo umeanza!Naongeza sauti,mabeberu ongezeni mbinyo,ARV msitoe bure na serikali inunue😁😁!
Hizo za kwenye mabeki ni siasa chafu tu za kila wakati wa uchaguzi.
Magu alifanya sana kazi miaka mitano iliyopita na wenye kuipenda nchi wameiona hakuwa na haja wala sababu ya kucheza rafu.
Umuibie kura Lissu aliyekuwa kitandani hospitalini tangu 2017 ili iweje.
Haipunguzi maumivu kwa kuwaita mabeberu humu jukwaani.na cjui km wsmekusoma.Mabeberu katika kiwango bora hapa.
Akili ndogo.Huna lolote! Sisi tusiotegemea mabeberu hatuna hata habari tunajua tutadunda tu. Na miradi yetu itaendelea kama kawaida tu.
Watanzania wenzetu wameteswa, wamefilisiwa,wameuwawa, wamebambikiwa kesi kisa wapo upinzani wapinzani wameporwa uchaguzi huu kwa sababu eti walikuwa wanakwamisha maendeleo tumeamua tuwaachie bunge pekee chapeni kazi sasa hakutokuwa na kukwamishwa tena na wapinzaniNASIKITIKA KUONA WAAFRIKA TULIVYO NA AKILI NYEUSI, NASIKITIKA KUONA HUU MPANGO NI WASISI WENYEWE, KITU CHA AJABU TUNAHISI HAO WHITE WANATUPENDA SANA
Kabudi kateuliwa haraka kwenda kupoza joto,wewe kapuku huwezi kujua kwanin!Huna lolote! Sisi tusiotegemea mabeberu hatuna hata habari tunajua tutadunda tu. Na miradi yetu itaendelea kama kawaida tu.
mbaya zaidi vijana wanaamini lisu ndo atawaletea ugali mpaka mlangoniMijitu km nyie sijui kwann mlizaliwa.... Ni hasara kwa wazazi wako Hadi majirani zako.
Watu wanapambana kutafuta uhuru kutoka kwa hao mabwana zako wewe unaona hatuwezi kuishi bila wao. Mbwa mmoja wewe...
Huyu alikuwa wa kumneutralize mapema tu!Mwanasiasa anayekaa madarakanj miaka mitano au kumi anataka kuharibu mustakabari wataifa kwa vizazi vijavyo
Mmekula hela za mashoga lazima mzitapike kwa njia yeyote ile.Tanzania tuna Mungu tulishirikisha viongozi wa dini kubwa waongee na Mungu kuwa anataka nchi raisi ikabidhiwe kwa mashoga na wasagaji wa ndani au wa nje au watetea ushoga na usagaji wawe CCM, chadema etc au wawe kawe au ubelgiji nk? Akakataa