Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Jiwe anadanganya wapumbafu kwamba Nchi yake Tajiri
Kwani bunge la EU linatuhusu nini ? Inatakiwa tuanzishe EU ya Afrika na World Bank ya Afrika. Sisi ni nchi huru na tajiri πŸ˜€
 
Sawa hizo ndizo gharama zenyewe za misimamo yetu ambazo JPM huwa anasema mara kwa mara. Suala hapo siyo demokrasia ni misimamo yetu ya kudhibiti raslimali zetu, they can go to hell
 
Nilijua tu hilo litafuata na bado tutakomeshwa
 
Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Jamaa alivurugwa sana!
ingawa ni woga wake tu angeweza kushinda uchaguzi hata kwa Kura moja maana katiba inataka hivyo!...sasa kupagawa kwake anaua Nchi....bila Investors wapi utatoa Hela anategemea kuuza vitambulisho daah
 
Sawa....hizo ndizo gharama zenyewe za misimamo yet ambazo JPM huwa anasema Mara kwa Mara...suala hapo siyo demokrasia...ni misimamo yetu ya kudhibiti raslimali zetu....they can go to hell
Go to hell wakati kuna la ICC linakuja???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndo mtajua kuwa udhalimu haulipi safari hii
 
Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
Umewahi kujiuliza unavyoshabikia Kura za mabegi?
 
Ukiona haitangazwi na mainstream media ujue siyo muhimu, umeona Bobi wa Uganda yuko all over main stream media, ...
 
Sasa wakitunyima misaada, watakua wanamkomoa Nani? Au Nani ataanza kufa mapema!? Masikini au viongozi wa juu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…