Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kuna mtu alinunua jogoo kwa Tsh 100,000/= kumbe ilikuwa ni hela za wahanga wa kovidi kumi na tisa, si ndiyo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAWA SI NDIO WALIIMBA GOOBYE UK, TO HELL QUEEN?
Amani iwe nanyi tena wadau!!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania
2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania
3. Wamehoji hadi kwanini walitoa ahadi ya fedha kiasi cha Euro Mil. 27[ Zaidi ya Bilioni 74] za ku support harakati za kupambana na COVID19. Wamembana afisa wao kuhusu vigezo gani vilitumika kuona Tanzania inastahili kupewa hela hizo wakati Tanzania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa nchi iko covid free kutokana na sala.
4. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.
Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje 😂😂😂😂
Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu.
===
Bunge la Umoja wa Ulaya limetakiwa kutoa maelezo ya kwanini Jumuiya hiyo ilitoa msaada wa kiasi cha euro milioni 27 za kupambana na Covid19 kwa Tanzania, licha ya kufahamu kuwa nchi hiyo imetangaza kuushinda ugonjwa huo.
Akiwasilisha hoja yake, mbunge wa Jumuiya hiyo kutoka Ujerumani, Bw. David McAllister, amesema anataka kufahamu ni namna gani fedha hizo za walipakodi wa bara la Ulaya zimetumika katika nchi ambayo imekataa kutoa takwimu na kufuata miongozo ya WHO.
"Ningependa uwajulishe wajumbe wa kamati yetu juu ya pesa tulizoipatia Tanzania; kulikuwa na vigezo gani vya kutoa pesa hizi, na ni kipi hasa kinachofanywa kwa kutumia pesa hizi", amesema
McAllister alisisitiza kupatiwa majibu ya papo kwa papo, na kama ikishindikana, basi iwe ni ndani ya saa 48.
------
European Union granted 27mil euros of European taxpayers' money to Tanzania to combat the effects of Covid.
Now we have a regime in the country saying that there is no Covid in the country. We've rather bizzare explanations.
So once again, we have a government who's refused to follow guidelines from the WHO; a government that has refused to provide statistics -- and still we are giving them 27mil euros.
I'd like you to inform members of our committee about the money we have given to Tanzania; what were the criteria for giving this money, and especially what is happening with this money.
We'rtalking about European taxpayers' money, and I have difficulties that we grant money to a government which is obviously not/trying to cooperate in a decent manner.
So could please answer my question -- and if you're not able now -- I'd expect you to provide details within 48 hours.
Soma pia >
Umoja wa Ulaya kutoa Bilioni 70 kusaidia Mapambano Ya COVID19 -Tanzania
www.jamiiforums.com
https://www.jamiiforums.com/threads...4-5-za-michango-ya-covid-19-zimeliwa.1786433/
Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...www.jamiiforums.com
NI HAKIKA Magufuli hata umiaaKilaza ni wewe ambaye unadhani serikali ikikosa hizo pesa wewe atakayeumia ni Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16].
Mnatumia nini kufikiri??
NI HAKIKA Magufuli hata umiaa
Wanachokifanya mabeberu(wahisani) ni kuwaumiza wananchi wa chini walio wengi majibu tutayapata 2025
kuna miradi itakwama
mzunguko wa pesa kupungua
imani ya wawekezaji itashuka
uchumi kudorora
hivyo ndio Hufanya kutengeneza regime change hao jamaa
cheki SUDAN AL bashir WANAJESHI waliomlinda wanajipanga kumkabidhi ICC
hayo ni matokeo ya uroho wa madaraka na kuwafanya oposition parties kama mbwa wanaobweka tu ndani ya nchi za nyingi africa. tunakosa kuheshimiana wenyewe.
Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?Hapana ila sisi tulipewa huo msaada na kuupokea kwa ajili ya kupambana na covid 19. Jaribu kusoma na kuelewa.
Mtani jana nilikuambia Wapinzani hampo serious ukabisha.Kuna mtu alinunua jogoo kwa Tsh 100,000/= kumbe ilikuwa ni hela za wahanga wa kovidi kumi na tisa si ndiyo?[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1630451
Kiuhalisia misaada inasaidia kutimiza malengo yako haraka, lakini 82% ya misaada na mikopo tuliyoipata Tanzania na Afrika ama imetumika vibaya au imerudi kwa walioitoa kwa namna moja au nyingine.Sasa mlikuwa mnazinyonya hela za corona za nini, na wamesema mikopo mliyoenda kuomba imekataliwa ,mtapata baada ya kukosa, mbona CCM mnakuwa wajinga hivi
Polepole amenunua majumba kibao viwanja na sasa yupo Nchi jirani anasaka Bank ya kuficha pesa zake , pesa za corona waligawana juu kwa juu
Hao kitengo wanataka mambo yawe kama kawa tu maana wakichuchua mafungu hata ya kipuuzi hawaulizwi walitumiaje mafungu. Kitengo ni kichaka cha upigaji na kulinda mfumo haramu wa utawalaMkuu mbona kitengo hawakushauri ccm wale ila wasikombe mboga!?Ina maana kitengo wanazidiwa mbinu na mitambo ya Bashiiru?
Ama kitengo nao wana agenda ya siri kumuaibisha,kumdhofisha mfalme!?
nikukata tamaaa mkuu na utayari wa watawala wetu kujenga jamii ya kidemokrasia yenye kuheshimu uhuru wa kutofautiana kimawazo.sasa kinachofanya mfurahie ni kitu gani??
au ndio mawazo tu ya mtu aliyekata tamaa!!!
Aisee, jamani maana ya kuendesha uchaguzi ni nini kama mambo ya kipumbavu na kipuuzi namna hii yanafanyika?Acha kudanganya umma,huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi!View attachment 1629952View attachment 1629953View attachment 1629954
Kwa kauli yako hi ni wazi una vimelea vya ugaidi..kumwita binadamu mwenzio mbwa ni wazi humthamini binadamu huyo...wewe huna tofauti na wale wa Pemba waliomnyang'anya Askari bunduki na baadaye kumchinja...wewe hujitambui ...wewe ni kibaraka...Tunashukuru kuwa huyo bwana wenu beberu Amsterdam wazungu wenzake wamemshitukia na tayari baadhi wameandika barua umoja wa ulaya wakitaka nchi za ulaya zimwekee vikwazo huyo beberu kwa kuleta machafuko katika nchi kadhaa..Kwa Tanzania huyo beberu mshenzi Amsterdam amegonga mwamba..ujinga na vituko vya mshenzi huyu kwa kuandaa vielelezo fake kwa kuchukua matukio ya Libya na kudai kuwa hayo ni ya Tanzania yote yameshitukiwa na wenzake...mwosha huoshwa kwa hiyo mashtaka dhidi yake tayari yamefikishwa mahali pake...wewe na wenzio endeleeni kumshabikia huyo stupid and uncivilized Amsterdam..mtaona Moto soon...We na mafala wenzio waliyokupa like ni mazwazwa , jitu lenyewe liathirika we subiri ARV zihadimike , mbwa wewe
Hakuna shida mpaka hapo ila inabidi tueleze matumizi ya hiyo pesa ndani ya saa 48 mkuu.Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri