Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

 
Kilaza ni wewe ambaye unadhani serikali ikikosa hizo pesa wewe atakayeumia ni Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16].

Mnatumia nini kufikiri??
NI HAKIKA Magufuli hata umiaa
Wanachokifanya mabeberu(wahisani) ni kuwaumiza wananchi wa chini walio wengi majibu tutayapata 2025
kuna miradi itakwama
mzunguko wa pesa kupungua
imani ya wawekezaji itashuka
uchumi kudorora
hivyo ndio Hufanya kutengeneza regime change hao jamaa
cheki SUDAN AL bashir WANAJESHI waliomlinda wanajipanga kumkabidhi ICC
hayo ni matokeo ya uroho wa madaraka na kuwafanya oposition parties kama mbwa wanaobweka tu ndani ya nchi za nyingi africa. tunakosa kuheshimiana wenyewe.
 

sasa kinachofanya mfurahie ni kitu gani??

au ndio mawazo tu ya mtu aliyekata tamaa!!!
 
Hapana ila sisi tulipewa huo msaada na kuupokea kwa ajili ya kupambana na covid 19. Jaribu kusoma na kuelewa.
Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?
 
Ukilinganisha na zimbabwe ya kipindi hicho ilipokuwa inaanza mikwala kama yetu,uchumi wetu wa sasa unalingana na wa zimbzbwe ya wakati ule? kama siyo wamefikaje walipo leo, kiburi hakitatusaidia kitu kitatumaliza tuwe waungwana kwani inawezekana kabisa tukazingatia tulicho ahidi yaani UTAWALA BORA,DEMOKRASI, NA UHURU WA KUJIELEZA. kwani tatizo lipo wapi?
 
Sasa mlikuwa mnazinyonya hela za corona za nini, na wamesema mikopo mliyoenda kuomba imekataliwa ,mtapata baada ya kukosa, mbona CCM mnakuwa wajinga hivi
Kiuhalisia misaada inasaidia kutimiza malengo yako haraka, lakini 82% ya misaada na mikopo tuliyoipata Tanzania na Afrika ama imetumika vibaya au imerudi kwa walioitoa kwa namna moja au nyingine.

Hivyo, tukiwa serious we can do without misaada na mikopo from anybody. China ilifika pale ilipofika bila kutegemea misaada. Tunachohitaji sisi ni kuwaunganisha watanzania wote bila kujali chama, elimu, dini, kabila wala jinsia waijenge nchi yao kwa kutumia nguvu zao na rasilimali zao bila kujatumia ujanjaujanja na katiba yetu itamke hivyo. Tumbuke kuwa hata wazungu walizijenga nchi zao kwa kufanyakazi kwa bidii, kulipishana kodi kwa lazima, kuwafunga wakwepa kodi, kupora kutoka nchi nyingine na kuiweka kando demokrasia.

Wazungu hawakuanza na demokrasia wakati wanazijenga nchi zao, hata demokrasia waliilazimisha afrika kama mbinu yao ya kuzorotesha maendeleo africa, ili watu wapoteze muda wao kwa kubishana, kuchaguana, kupigana mabomu ya machozi na virungu, kuuana, nk. Kama Korea Kaskanizini wangekuwa na demokrasia ile nchi ingeshaanguka na kusambaratika, china hivyohivyo, Rwanda hivyohivyo.

Nchi za Uarabuni zimeanguka baada ya kuingiza demokrasia badala ya usultani na ufalme. Mabeberu wanapitia katikati ya vyama vya siasa kupata nafasi ya kutuchonganisha. Na bahati mbaya watawala wetu wa kiafrika ni waroho wa madaraka pia hawaioni mitego ya wazungu hata kidogo. Wachina, N. Korea, Cuba wao wanapambana na mitego ya kudumu ya wazungu inayokuja kwa njia ya demokrasia.
 
Mkuu mbona kitengo hawakushauri ccm wale ila wasikombe mboga!?Ina maana kitengo wanazidiwa mbinu na mitambo ya Bashiiru?
Ama kitengo nao wana agenda ya siri kumuaibisha,kumdhofisha mfalme!?
Hao kitengo wanataka mambo yawe kama kawa tu maana wakichuchua mafungu hata ya kipuuzi hawaulizwi walitumiaje mafungu. Kitengo ni kichaka cha upigaji na kulinda mfumo haramu wa utawala
 
sasa kinachofanya mfurahie ni kitu gani??

au ndio mawazo tu ya mtu aliyekata tamaa!!!
nikukata tamaaa mkuu na utayari wa watawala wetu kujenga jamii ya kidemokrasia yenye kuheshimu uhuru wa kutofautiana kimawazo.
tumekata tamaa na tume ya uchaguzi INAYOTEULIWA NA MGOMBEA , uwezo wa jeshi la polisi kusimamia haki, hata mahakama kuna kesi hazikamiliki upelelezi watu wanamaliza miaka mahabusu. na sasa uwezo wa bunge letu kuisimamia serekali halitakuwa ni muhuri TU.

Things Fall Apart​

Novel by Chinua Achebe

SULUHISHO
RASIMU YA WARIOBA
 
We na mafala wenzio waliyokupa like ni mazwazwa , jitu lenyewe liathirika we subiri ARV zihadimike , mbwa wewe
Kwa kauli yako hi ni wazi una vimelea vya ugaidi..kumwita binadamu mwenzio mbwa ni wazi humthamini binadamu huyo...wewe huna tofauti na wale wa Pemba waliomnyang'anya Askari bunduki na baadaye kumchinja...wewe hujitambui ...wewe ni kibaraka...Tunashukuru kuwa huyo bwana wenu beberu Amsterdam wazungu wenzake wamemshitukia na tayari baadhi wameandika barua umoja wa ulaya wakitaka nchi za ulaya zimwekee vikwazo huyo beberu kwa kuleta machafuko katika nchi kadhaa..Kwa Tanzania huyo beberu mshenzi Amsterdam amegonga mwamba..ujinga na vituko vya mshenzi huyu kwa kuandaa vielelezo fake kwa kuchukua matukio ya Libya na kudai kuwa hayo ni ya Tanzania yote yameshitukiwa na wenzake...mwosha huoshwa kwa hiyo mashtaka dhidi yake tayari yamefikishwa mahali pake...wewe na wenzio endeleeni kumshabikia huyo stupid and uncivilized Amsterdam..mtaona Moto soon...
 
Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?
Hakuna shida mpaka hapo ila inabidi tueleze matumizi ya hiyo pesa ndani ya saa 48 mkuu.
 
Kumnyang'anya askari bunduki na kumchinja sio jambo zuri na rahisi, lakini kuna njia yoyote tunayowezakufanya ili kuzuia jambo kama hilo lisitokee? mara nyingi watu hawaongelei matukio yanayosababisha jambo kama hilo la mtu kutokea kumchinja mlinzi wake na mali zake. Kabla ya tukio nini kilitokea?
 
Kuna maisha tulipitia miaka ya 80 yalikuwa magumu mno!Na ninaanza kuona dalili za kuyarudia maisha hayo.Na kitu cha ajabu watanzania wengi wamekuwa na kiburi cha shibe wanajiona hawawezi kupata madhara.

Kuna kundi la vijana wamo kwenye siasa sasa hivi,hawakuonja joto la kipindi hicho na hivyo wana nadharia nyingi za darasani na wanajidanganya wanaweza kuzitekeleza katika uhalisia.

Mungu atuhurumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…