Atauza vitambulisho maana vimeboreshwa ili kukopea Benki ya China🙄🙄🙄Jamaa alivurugwa sana!
ingawa ni woga wake tu angeweza kushinda uchaguzi hata kwa Kura moja maana katiba inataka hivyo!...sasa kupagawa kwake anaua Nchi....bila Investors wapi utatoa Hela anategemea kuuza vitambulisho daah
Kama hujui kusoma kaa kimya! Nani aikomeshe Tanzania wewe?Nilijua tu hilo litafuata na bado tutakomeshwa
Recognition can be in a positive or negative way, I recognize you as a thief.Mnajisumbua nyie vibaraka wa Tototundu! Kujuhakikishia kuwa JPM hawamuwezi, soma Gazeti la leo https://www.theglobeandmail.com/wor...n-election-and-arrests-of-opposition-leaders/
Canada criticizes Tanzanian election and arrests of opposition leaders, but won’t withdraw recognition
Hilo la ICC ndo balaa!! Huku Biden akipiga jaramba. Akiingia tu Oval Office , file la kwanza kushughulikia kwa Africa ni la Tanzania. Lazima mtu ataita Maji mmaaaaa Safari hiiHuyu WA kwetu alitaka amdhalilishe Mbowe na alifanikiwa SASA asubiri. Hakuna kitu kilichokuwa muhimu kama Lissu kuondoka salama baada ya ubakaji WA tarehe 28.
Sasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Sio yataanza na zile Kura za kwenye mabegiMkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....
Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
50% ya bajeti yetu tunawategemea wao.Na sisi tutatangaza vita ya kiuchumi rasmi na hao mabeberu, waondoke wao na vibaraka wao. Hii nchi ilichezewa sana.
Achana na hizo, soma kwanza kabla ya kukurupuka kama TototunduRecognition can be in a positive or negative way, I recognize you as a thief.
Na Wewe umegeuka??Safi kabisa. Tutaisoma namba vizuri
Wa buku saba kazi ndio inaelekea ukingoni hivyoooSasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Unauzi kila mara ni upuuzi tuJinyonge tu komredi 😂😂
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?50% ya bajeti yetu tunawategemea wao.
Hauwezi kufikia upuuzi WA mwizi WA Kura. ARV zikianza kukosekana ndio mtajua alifanya upuuzi WA hali ya juu.Upuuzi wako hapa JF umezidi mipaka
Toka lini mwanasiasa akawa daktari,chukua taadhari sisi sio kisiwa.Kama majirani zetu wanayo why sisi ni kisiwaLazima niogope tumekula pesa zao €27m tukiwadanganya za korona wakati serikali imesema hatuna korona tutazilipaje.