Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Jamaa alivurugwa sana!
ingawa ni woga wake tu angeweza kushinda uchaguzi hata kwa Kura moja maana katiba inataka hivyo!...sasa kupagawa kwake anaua Nchi....bila Investors wapi utatoa Hela anategemea kuuza vitambulisho daah
Atauza vitambulisho maana vimeboreshwa ili kukopea Benki ya China🙄🙄🙄
 
Huyu WA kwetu alitaka amdhalilishe Mbowe na alifanikiwa SASA asubiri. Hakuna kitu kilichokuwa muhimu kama Lissu kuondoka salama baada ya ubakaji WA tarehe 28.
Hilo la ICC ndo balaa!! Huku Biden akipiga jaramba. Akiingia tu Oval Office , file la kwanza kushughulikia kwa Africa ni la Tanzania. Lazima mtu ataita Maji mmaaaaa Safari hii
 
Na sisi tutatangaza vita ya kiuchumi rasmi na hao mabeberu, waondoke wao na vibaraka wao. Hii nchi ilichezewa sana.
 
Sasa wewe unaogopa nini?

Chapa kazi bwashee!

Waathirika wakuu ni wananchi na sio vibaraka na wapambe.Labda wawapige total ban kuingia USA and ulaya wabunge wote wa ccm,wakuu wote wa vyombo wao na familia zao marufuku kuingia,kusoma,kutibiwa,nk ulaya hii itasaidia.
Hawawezi toa pesa zao then ziende kukandamizia demokrasia.Maana wao ndio uathirika kwa kuingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi afrika.
Hakuna mtawala wa kiafrica anayehudumia wakimbizi Hali wao ndo chanzo cha uzalishaji wakimbizi duniani kwa kuwanyima haki wananchi. Haki ikipotea amani upotea.
 
Mkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?

Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......

Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....

Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
Sio yataanza na zile Kura za kwenye mabegi
 
50% ya bajeti yetu tunawategemea wao.
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
 
Kunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.
 
Back
Top Bottom