Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Uvccm , mataga , vibaraka wa Jiwe , mapimbi wa Lumumba na balozi wenu wa ubeligiji njooni muipinge hii video ya mabeberu .
 
Uvccm , mataga , vibaraka wa Jiwe , mapimbi wa Lumumba na balozi wenu wa ubeligiji njooni muipinge hii video ya mabeberu .
Tupo hapa huo ujinga wako ukitimia nikumbushe, Kusema sio kutenda.
Ni sawa na yule kichaa wenu alisema haogopi mtu ila baada ya uchaguzi akajificha ubarozini na bado makashangilia nyie nyumbu.
 
Tupo hapa huo ujinga wako ukitimia nikumbushe, Kusema sio kutenda.
Ni sawa na yule kichaa wenu alisema haogopi mtu ila baada ya uchaguzi akajificha ubarozini na bado makashangilia nyie nyumbu.
Vibaraka wenzako wa Lumumba kina etwege , Johnthebabtist , Kawe Alumni , Mama D tafuteni mtu awatafsiriwe balozi wenu hakuelewa . Mapimbi wa Lumumba kwa hii video mnaficha wapi nyuso zenu , aibu yenu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…