Sababu za kupigania uhuru ilikuwa ni watu wajitawale, wachague viongozi wanaowataka kwa utashi wao. Wazungu siyo kuwa hawakujenga barabara , railway au miundombinu mingine. Tunapaswa tujiulize kwa kina pale yale matukio yaliyowafanya watu wapiganie uhuru yanapojirudia dhahiri.Mtu anakosa hela mfukoni anajikita kushabikia wazungu watunyanyase ,kumbe history ni somo zuri Sana japo skuzama ndani Sana kulichimba,ila nakumbuka incidence moja hivi yakwamba wakati mababu zetu wanaresist kutawaliwa na wazungu kuna mababu utopolo waliungana na mabeberu kututesa.
Sasa as a scientist,ile blood linage imeanza kutake place tena in neo-colonialism erra.
Mfumo wa mahakama za marekani ni tofauti sana na huku.Haki inapatikana mahakamani...Trump mwenyewe kashitaki kwasababu ana ushahidi, kama kura ziliibiwa nendeni mahakamani!
Mods mbona mmebadirisha utangulizi wa uzi wangu?Saalam wana bodi
Wakati musa alipookotwa mtoni na wajakazi wa binti farao,alipekwa kuishi kwenye jumba la kifalme la farao na akakulia humo.
Alikula raha zote za jumbani humo.
Lakini hakuona inafaa wakati taifa lake la Isarael likiteseka utumwani humo Misri.
Akaona vema akapate shida pamoja na watu wake.
Mkuu Zitto Kabwe na Maalim seif,watu waliwaamini kuwa mtawatoa utumwani lakini kutokana na hila,ulafi wa watawala mlipokwa kura ambazo zingefanya chama chetu kuongoza dola.
Kumbukeni kuna watu wamepoteza maisha na familia zao zinzteseka
Kuna watu wamepoteza viungo na wengine wamekimbia na hawajulikani waliko.
Hayo yote ni kwaajili ya chama chenu na ninyi kuingia madarakani
Leo hii mkikubali serikali ya mseto kwakupewa uongozi wa juu wa nchi wakati hamna wabunge,madiwa na kama wapo ni sawa na 1/8 hamtakuwa na maamuzi ya kufaa kwenye serikali,tafsiri yake ni sawa na kuingizwa ccm kwa mlango wanyuma.
NI HERI KUKATAA KULIKO KUJIUNGA KWENYE SERIKALI ILIPATIKA KIBABE
Asante
Mkuu Lord denning unaandika usichokijua kwa kuwa umekubali kulishwa matango pori, kuingizwa kichakani au choo cha jinsi nyingine kiasi umekwama kujitegemea kifikra.Amani iwe nanyi tena wadau!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU....
Kea iyo unawagundosha janja janja zenu za wizi wa public fund??Hovyo Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
Mkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....
Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
Mzee wa msoga atakubali kweli?Kumbe alijua kimbunga kinakuja ndio maana akamteua kabudi chap chap,unfortunately kabudi Hana uwezo huo wa kupambana ktk crisis kubwa ya kidiplomasia kama hii. Tumuangukie mzee wa msoga kwa hili.
Ni shetani tu anaweza kuunga mkono yaliyojili katika uhuni unaoitwa uchaguzi.Acha watusaidie kwani mifumo yetu ni ya hovyo hata ukitaka kutafuta haki kwenye vyombo husika hupati.Bora mabeberu yaingilie ili tunyooke wote.Maana ccm wanajiona wao ni raia daraja la 1.Hakuna Cha ICC wala mjomba wake....labda mjipeleke nyie kibaraka wa ndani....stupid and idiot guys...mnazungumzia ICC as if ndio mkombozi wa Tanzania...this country, Tanzania, is a free country...it is a sovereign state....
Kutoishabikia ndio kutafanya tusiwe wahanga?.Hio ndio suluhu?Hali hii si ya kuishabikia kwa maana kwamba kundi fulani litaumia, kimsingi sisi sote tutakuwa wahanga wa hili.
Ass! + utopolo.We ni mwendawazimu
Mnazidi kujidhalilisha! Mnajifanya mnaandika eti uchambuzi kumbe mnazidi kujidhalilisha na kujiona ni jinsi gani mlivyo vilaza.Mkuu Lord denning unaandika usichokijua kwa kuwa umekubali kulishwa matango pori, kuingizwa kichakani au choo cha jinsi nyingine kiasi umekwama kujitegemea kifikra.
Kamwe matumaini ya CHADEMA kushika madaraka ya nchi hii yatabaki ndoto tu.
Kama viongozi wa CHADEMA hawalichukulia kwa uzito mkubwa anguko lao baya kwenye Uchaguzi Mkuu, 2020, chama kitakufa mithili ya NCCR Mageuzi ya awali, iliyozaa TLP, au CHADEMA/CUF kuanzishwa kwa ACT-Wazalendo.
Tanzania ni nchi HURU ambayo kwa sasa inaongozwa na kiongozi mwenye ujasiri na maono. Kwa uthubutu wake Tanzania inapiga hatua za kiuchumi kwa haraka sana. Ifikapo 2025, tutakuwa tunaongea na nchi zilizoendelea, kuwepo au kutokuwepo misaada ya mabeberu. Kuinyima Tanzania misaada ni "Baraka iliyojificha (blessing in disguise)".
Ukweli wa ulichoandika ni hiki hapa kutoka kwa Mwandishi Alberto Msando, 20.11.2020
"ENYI NINYI WAPANUA VIDOLE PASNA KUPANUA AKILI, Tufahamishane: Ushirika wa Chadema, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister
Nimesoma na kufuatilia mjadala kuhusu alichokisema Bwana David McAllister kwenye kikao cha Kamati ya Masuala ya Nje ya Bunge la Ulaya. Kuna machache ya kuyafahamu kwa undani kidogo.
Wakati Tundu Lissu anaondoka nchini alisema, mimi sio mkimbizi naenda kuendeleza harakati za kisiasa. Nilichobadili ni uwanja wa mapambano tu. Tusisahau hili. Mapambano dhidi ya nchi yetu na utafutaji dola yanaendelea.
CHADEMA, kama ilivyo kwa Chama cha Umoja wa Demokrasia wa Kikristo (Christian Democratic Union - CDU, Ujerumani), ni mwanachama kamili wa International Democratic Union (IDU). CDU na CHADEMA ni washirika wa karibu kisiasa.
IDU ilianzishwa mwaka 1983 na Konrad Adenauer Foundation pamoja na George H. Bush. CHADEMA ni mshirika (Partner) wa Konrad Adenauer Stiftung hapa Tanzania tangu mwaka 2004.
Bwana David McAllister ni mjumbe wa Konrad Adenauer Stiftung. Pia, David McAllister ambaye ndie mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Nje ya Bunge la Ulaya ni Makamu Mwenyekiti wa IDU tangu mwaka 2014.
Kamati ya Masuala ya Nje anayoingoza David McAllister ndio imeleta hoja kuhusu Tanzania na baadhi ya wajumbe wake kutoa maoni yao.
Tufahamu zaidi kwamba David McAllister alikuwa ni Mwenyekiti wa Christian Democratic Union - Lower Saxony mpaka mwaka 2016. Ni mwanachama wa CDU mpaka sasa.
CHADEMA ni mwanachama kamili (Full Member) wa IDU hivyo ana haki zote ndani ya IDU ikiwa ni pamoja na kusukumwa kwa maslahi yake kwenye vyombo ambavyo IDU inauwakilishi. Bunge la Ulaya ni mojawapo ya vyombo hivyo.
Hivyo basi, tunapaswa kufahamu kwamba vita na harakati za CHADEMA zinaendelea na mbinu wanazotumia ni kushawishi kwa kadri wanavyoweza kuhakikisha tunawekewa vikwazo ili malengo yao yafikiwe. Lengo lao kuu ni kushika dola hivyo watafanya kila wawezalo kudhoofisha serikali iliyopo madarakani.
Mh. Rais ameliona hili mapema na ndio maana amemteua Prof Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje haraka kupambana na propaganda na shutuma zinazoelekezwa kwetu.
Ni wajibu wetu kuhakikisha tunashinda vita hii. Tusipoteze mwelekeo. Na sisi tupambane kwa levels za huko huko walipo kupitia wanadiplomasia wetu. Pamoja tunaweza".
Hopeless comment by ass!Mnazidi kujidhalilisha! Mnajifanya mnaandika eti uchambuzi kumbe mnazidi kujidhalilisha na kujiona ni jinsi gani mlivyo vilaza.
Kama nyie mna ushirikiano na Chama cha China kuna shida gani Chadema wakiwa na ushirikiano na Chama cha ujerumani???
Lipi waliloongea kamati ya mambo ya nje ya bunge la EU la uongo??? Hamjaiba uchaguzi??? Hamjaua watu?? Hamjavinyanyasa vyama vya upinzani kwenye uchaguzi??? Hamjatapeli hela zao kwa kusema mnaenda kushughulikia covid wakati mna sema kuwa nyie ni covid free????
Hizi propaganda zenu za kitoto ishieni nazo huko huko Lumumba ila sio kwa watu wenye akili
Jiandae tu. Kuna list ya icc, huyo msando sijui ndo ataandika niniHopeless comment by ass!
Yaani utopolo wako unaona ICC ni kama Mungu wako!Jiandae tu. Kuna list ya icc, huyo msando sijui ndo ataandika nini
Sio Mungu wangu. Ila ni kiboko ya ma dictator dunianiYaani utopolo wako unaona ICC ni kama Mungu wako!
Yaani serikali ya ccm imefanya utapeli ... 😂 😂 kama ilivyo kawaida yaoKumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.
Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.
Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Manyumbu msijitoe ufahamu, huo msaada hao waliotoa baada ya kuona kwamba Tanzania haijatetereka kwa covid 19. Ili waonekane kwamba nao wamehusika wakajifanya wanatoa msaada. Msaa huu huu ukitangazwa. Kumbuka Magufuli alikataa kupata mkopo kwa ajili ya corona. Kenya wakachukua. Bàadaye EU kwa kujipendekeza wakijileta na msaada wao.Kwa sababu mnatangazia dunia kuwa kwenu hakuna corona, halafu mnarudi mlango wa nyuma kuomba misaada ya corona na hamtoi maelezo hiyo misaada imetumikaje