Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kwa akili kama za watu hawa hivi kabisa tukabidhi nchi kwa wahuni hawa! Si itakua ajabu, wana utoto labda wabalehe jamani.
Wakikua wataelewa,
Don't stop kids from playing, only make sure they play safe. Lazima tudhibiti huu utoto.
 
Mlipokuwa mnazipokea shetani alikuwa provider ?
 
Vibaraka wenzako wa Lumumba kina etwege , Johnthebabtist , Kawe Alumni , Mama D tafuteni mtu awatafsiriwe balozi wenu hakuelewa . Mapimbi wa Lumumba kwa hii video mnaficha wapi nyuso zenu , aibu yenu .
Miaka yote mko hivyo na ujinga wenu tushawazoea, narudia kama hawatafanya unavyotaka basi mtakuwa mnasikilizia kwa nyuma na ndio maana akili zenu zimekorogeka kama uji,

Hao wachangiaji ni mashoga zake na Amsterdam sasa ulitaka wasemeje?
Sasa suniri maamuzi miaka inaenda, na ipo siku mtakuja na ushabiki wa lingine na hili mtajifanya kulisahau.
 
Endelea kuishi kwa mazoea
 
Let me tell you one thing...Nchi hii haina ugonjwa wa kuponywa kuhusu demokrasia na uchaguzi...tuko vizuri kabisa katika suala la uchaguzi...mpaka wazungu wanastaajabu namna Tanzania ilivyofanya uchaguzi wake...kwenye uchaguzi wa Marekani kilichotokea ni aibu kubwa...angalia video za uchaguzi wa Marekani utadhangaa watu wanapigwa na Askari au jeshi na siyo polisi..kilichopo Tanzania kwa baadhi ya Watanzania ni kuvimbiwa amani iliyopo na kufanya vitendo vya kuichafua nchi ...raia mwema hawezi kugombana na polisi...Kibaraka Lissu amekimbilia ubalozi kwa sababu asingeweza Tena kuingia ubelgiji Kama mkimbizi...sheria za ubelgiji zinataka uingie Kama unatiehiwa maisha..na ndivyo Kibaraka Lissu alivyofanya...amefanya maigizo kwa kuelekezwa Nini Cha kufanya Kama anataka kuingia ubelgiji kwa Mara ya pili...huko aliko Kibaraka is a dejected guy..Hana mara
No shetani tu anayeweza kuupinga uchaguzi uliopita nchini Tanzania....wanaopinga uchaguzi huo ni vibaraka wa mabeberu na pia mabeberu yenyewe...
 
Kwanini mlipouchukua huo msaada mkapiga kimya hadi wao ndio wamekuja kutustua wananchi kuwa mlikomba mshiko?
 
Nahisi mzee wa Chamwino kauangalia huu mjadala live. Kama hajaungalia Naomba atafute mtu amtafsirie. Yajayo yanafurahisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alipokea hela za nini wakati Corona alisema haipo???

Magufuli ni mwizi. Lazima EU wamwajibishe!

R.I.P Lwajabe!
 
Aliyezoea vya kunyonga1
 
Kama unaamini kuna propaganda za kitoto, wafuasi wa upinzani humu JF, ikiwa ni pamoja na wewe Lord denning ndio mabingwa wa hizo propaganda. Naamini unajua ninachomaanisha, kwa mfano:

√ Mliwaaminisha wagombea wenu watashinda kweupe kwa nyomi za kuchakachua;
√ Wagombea wenu badala ya kunadi Ilani kwenye kampeni mkaamini kauli za kudharilisha na kuhamisisha vurugu zingewapa kiki ya ushindi; na
√ Sasa mnadanganyika kuwa EU inajadili Tanzania kunyimwa misaada/mikopo ati Uchaguzi haukuwa Huru na wa Haki.

MNAJIDANGANYA na MTAENDELEA KUISHI KATIKA NDOTO
 
Gufuri anajigamba kila siku kwamba sisi ni dona kantri tuone sasa.
 
Nimeisikiliza yote. Sijui watu wanaokashifu na kutoa povu mdomoni wanapinga maelezo gani katika haya. Unless hawafahamu Kiingereza cha Wazungu!

Kitu muhimu hapa, ni kuwa Wa EC wameanza kuingiwa na wasi wasi na aina ya uongozi Tanzania, nchi ambayo wengine wameielezea na kusikitishwa kuwa ilikuwa mnara wa haki za raia Afrika. Wamesema, kuanzia mwaka huu wanasitisha 'budgetary support' msaada wa bajeti wa kiasi cha EURO 100 milioni.

Kuna wale wanaojidanganya kwa kusema pesa hizo si kitu! Hizo ni takriban Trilioni ya TZ , na kama serikali haizipati hizo itabidi izitafute kwenye kodi (ie simenti ya 35,000! kwa mfano).

Pia mmoja wao amesema, ukuaji wa uchumi unakadiriwa kupungua hadi asilimia 1.9 kutoka 5.5 (Hii hata hivyo siiamini kabisa! Wao pia wana wale Maprofesa wa mahesabu ya makinikia ya mabilioni na mabilioni!).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…