KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Hakuna mtu aliyeenda kuomba zile pesa zilikuwa zinaletwa na taasisi za UN. Na pesa zilikuwa za kupambana na Athari zinazotokana na Corona siyo kutibu Corona kwasababu Corona haina tiba. Nendeni mkawaeleze Mabwanaa zenu ujumbe huuHili ndilo swali la msingi linalopaswa kujibiwa na Serikali badala ya kuchepusha mada sehemu nyingine.
Si mnasema hatuongelei kuhusu ufisadi,haya sasa tunahoji hizi pesa ziko wapi?Mna msongo wa mawazo
zile pesa zilikuwa za nini (kazi gani maalum) jibu kusaidia kupunguza athari zinazo sababishwa na covid, mfano matumizi ya ghafla mfano kulipa posho za ziada wauguzi , huduma mbalimbali kwa wagonjwa (kipindi cha awali wagonjwa tulikula na kunywa buree)Hili ndilo swali la msingi linalopaswa kujibiwa na Serikali badala ya kuchepusha mada sehemu nyingine.
Hizo pesa ziko wapi?Au zimetumikaje?Zitafanyiwa auditing?Hakuna mtu aliyeenda kuomba zile pesa zilikuwa zinaletwa na taasisi za UN. Na pesa zilikuwa za kupambana na Athari zinazotokana na Corona siyo kutibu Corona kwasababu Corona haina tiba. Nendeni mkawaeleze Mabwanaa zenu ujumbe huu
Siku hizi kuhoji matumizi ya serikali ni dhambi?Tunataka auditing tuone matumizi ya hizi fedha ukizingatia zimetoka mwezi wa 9!zile pesa zilikuwa za nini (kazi gani maalum) jibu kusaidia kupunguza athari zinazo sababishwa na covid, mfano matumizi ya ghafla mfano kulipa posho za ziada wauguzi , huduma mbalimbali kwa wagonjwa (kipindi cha awali wagonjwa tulikula na kunywa buree)
Na pesa hiyo siyo mkopo ni msaada , hatukuomba pesa hiyo sisi
Waambieni eu sisi sio wapumbavu kama hao cdm
Tupo makini na taifa letu hili huru
#bavicha
#bawacha
#mbowecha
#lissucha
#ufipacha
#jr
naona bavicha (kikundi maalumu cha kuandamana nyuma ya key body ) mmepata hoja town😂😂 eti pesa ilienda wapi inamaana maeleZo niliyotoa hayatoshi ama kweli nyinyi ni vichwa maji🙄Siku hizi kuhoji matumizi ya serikali ni dhambi?Tunataka auditing tuone matumizi ya hizi fedha ukizingatia zimetoka mwezi wa 9!
Wewe ni kichwa maji zaidi!Pesa zimetoka mwezi wa 9 wakati ambapo tayari tumeshaambiwa tumeshaishinda Corona!naona bavicha (kikundi maalumu cha kuandamana nyuma ya key body ) mmepata hoja town😂😂 eti pesa ilienda wapi inamaana maeleZo niliyotoa hayatoshi ama kweli nyinyi ni vichwa maji🙄
Acha umbumbumbu kwani zile pesa za kukaa pale hostel ulilipa wewe? .Vipimo vya corona ulilipa wewe zile posho za madaktari na Wauguzi katika ile dharula ulilipa wewe,Zile Gharama za PPE alilipa wewe? .Acha ujinga. Kuwa bavicha siyo lazima uwe mjinga.Hizo pesa ziko wapi?Au zimetumikaje?Zitafanyiwa auditing?
Au kuhoji matumizi ya serikali nayo dhambi?Si mnasema hatuongelei ufisadi,haya tunahoji sasa!
kwa mfano upo kwako una kama 50000 ndani umeiplania kujenga either msingi,Wewe ni kichwa maji zaidi!Pesa zimetoka mwezi wa 9 wakati ambapo tayari tumeshaambiwa tumeshaishinda Corona!
Akili yako iko timamu kweli?
Siku hizi kuhoji fedha zimetumikaje imekuwa dhambi?
Ndio maana tunataka auditing na report iende bungeni!Lakini pia pesa zimetoka mwezi wa 9,kipindi ambapo tulishatangaziwa tumeishinda Corona!Acha umbumbumbu kwani zile pesa za kukaa pale hostel ulilipa wewe? .Vipimo vya corona ulilipa wewe zile posho za madaktari na Wauguzi katika ile dharula ulilipa wewe,Zile Gharama za PPE alilipa wewe? .Acha ujinga. Kuwa bavicha siyo lazima uwe mjinga.
Tigershark jibu hilo hapo juuHakuna mtu aliyeenda kuomba zile pesa zilikuwa zinaletwa na taasisi za UN. Na pesa zilikuwa za kupambana na Athari zinazotokana na Corona siyo kutibu Corona kwasababu Corona haina tiba. Nendeni mkawaeleze Mabwanaa zenu ujumbe huu
Wewe mbumbumbu utakuwa unaishi kuzimu. Nakutajia hatua tulizochukua. Shule zote zilifungwa tokea March mpaka juni,Tukapunguza misongamano, tukatenga hospitali maalumu za corona, Tukawatibu waliopatikana na corona rejea Amana hospital, mloganzila na Temeke hivyo hivyo nchi nzima, kumbuka watu wote tulilazimika kuvaa barakoa rejea amri ya mkuu wa mkoa DSM Malinda, Kumbuka Airport zote zilifungwa na zilipofunguliwa zilifunguliwa kwa mashart maalumu.Bunge la ulaya linambana balozi wao hapa Tanzania sasa haieleweki serikali ndo walioomba hizo pesa kupitia huyo balozi au walileta wenyewe wazungu
Pili hizi pesa hazikutolewa ili kupambana na athari zilizojitokeza baada ya corona sababu sisi hatukuchua hatua zozote kupambana na ugojwa wa corona zaidi ya maombi pia tulitangaza sisi hatuna wagojwa wa corona ndo wanahoji hizo pesa zimetumikaje
Wakati huo unapata taarifa,ukatembeza bakuli kuchangisha kwa ajili ya kumtibia ndugu yako!Na akatibiwa na kupona kwa pesa za michango,ndio ukapokea hizo 60,000 kwa ajili ya mgonjwa yule yule!Sasa kinachotakiwa ni hesabu tu!Au kupiga hesabu ni dhambi?kwa mfano upo kwako una kama 50000 ndani umeiplania kujenga either msingi,
Maraghafla unapewa taarifa ndugu yako yuko hoi mahututi pesa inatakiwa
Unaamua kuitumia ile 50000 kwa nauli na matibabu nk
Then kuna ndugu yako au jamaa ako akakuonea huruma akakupa kama 60000
Hiyo pesa utafanyia nini??
Je utamrudishia kisa mgonjwa wako kapona??
Jibu rahsi ni kwamba ; pesa hiyo utaitumia kama faida kumbuka kuna pesa ulitumia kwa ulazima (50000)
Then 10000 unaweka kama akiba
Usipoelewa na hapa,tafadhali nikukute milembe na drip mbili za mkojo☺😐
#jr
Tumezila. Unajingine dogo?Hili ndilo swali la msingi linalopaswa kujibiwa na Serikali badala ya kuchepusha mada sehemu nyingine.
Kawaulize mabwana zako mabeberu!Wakati huo unapata taarifa,ukatembeza bakuli kuchangisha kwa ajili ya kumtibia ndugu yako!Na akatibiwa na kupona kwa pesa za michango,ndio ukapokea hizo 60,000 kwa ajili ya mgonjwa yule yule!Sasa kinachotakiwa ni hesabu tu!Au kupiga hesabu ni dhambi?
NB:Tunataka tujue pesa hizo ziko wapi,au kama zilitumika zilitumikaje na auditing ifanyike!Je,kama kuna ufisadi umefanyika?Watu wamekula hadi pesa za rambirambi,sembuse hizi za Corona?
Audit inaombwa na shirika iliyoleta hela siyo EU tena nakukumbusha walihoji hayo ni Wabunge kutoka ujerumani tena kumbuka Lisu alijificha Ubalozi wa Ujerumani tena kumbuka Ujerumani ndiyo yenye chama tawala kinachoisaidia Chadema tena kumbuka Amsterdam ni Mfuasi wa Chadema tena kumbuka taarifa yake alipeleka kwa wabunge wa Ujerumani mwisho nasema wabunge wa Ujerumani ni Chadema iliyochangamkaNdio maana tunataka auditing na report iende bungeni!Lakini pia pesa zimetoka mwezi wa 9,kipindi ambapo tulishatangaziwa tumeishinda Corona!